Yeye apande hatujakataa, apande hata baiskeli, sio kusema sio huyo anayepanda daladala, washafanya tz ni shamba la bibi hawa,
Moshi ameenda kufanya nini wakati mnawatukana wachaga kila siku leo ndo mnajifanya watu wenu unafiki mtupu
Ha ha ha,
Sijui unaishi Tanzania gani?
Lowassa kabla hajahamia Chadema 28 July 2015 (hata mwezi haujaisha mzee).
Alikuwa analitifua hilo shamba la bibi yako vibaya sana aisee...
Afu na Sumaye naye..huyo Sumaye ndo alikuwa fungulia goli..kalitifua hiko shamba la bibi yako miaka 10 kama waziri mkuu wa Mkapa..na kabla ya hapo kama waziri wa kawaida miaka kadhaaa....tena jamaa ndo mmoja wa waliouza kila kitu kwenye shamba la bibi yako mpaka likabaki mabua...sasa kajipindua tu anaitwa Kamanda Sumaye ha ha ha ha...
Ndo maana Mkapa anatupa za uso..
Dah..nimecheka sana leo ha ha ha
Eti mgombea akipanda daladala na kuja kununua nyanya gengeni ndo anatufaaa...
Ha ha ha ha ha
Hawana lolote hawa, wapeni hizo kura muone,mie kwa mtazamo wangu ncgi ibwebwe na jeshi na iweke kila kitu kwenye mstari kisha irejeshwe kwa wananchi, hawa ccm wameharibu mno, tumekuwa vinara wa sembe, pembe za ndovu, umemsikia vicent nyerere alivyomlipua mkapa, sasa aje na akanushe tusikie na mengine, tunachohitaji na mabadiliko, hawa watu wataifishwe mali walizochuma kwa jasho letu, awe ukawa au ccm, hapo ndo haki itatendeka, lakini sio kudanganywa, ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya kwa kila mtz, kumbe ni kwa familia yake watu tunakufa na umaskini wetu
Point.
Ila jeshi wakishaonja utamu huwa wanaleta shida kama za Preves Musharaf kule Pakstani au huyu jamaa yetu anayeongoza Misri sasa hivi
Inabidi iwe hivyo mkuu, bora tupelekwe mpera mpera turejeshe heshima aliyoiacha mwalimu, bora tupelekwe hivyo ili kizazi kijacho kipate kufaidi matunda yetu sio sasa
Hakuna rafu yeyote hiyo. Wenye ufahamu wanajua jinsi ya kufanya kampeni. Sio yule jamaa anaye panda dala dala ili watu wamuonee huruma.
Eti leo kaenda kununua nyanya kwenye Genge la Tandale. Alikuwa wapi miaka yote hii/
Kama ameziteka kwa nini Polisi hawamkamati?
Aiseee magari ni mengi kuliko watu
Tume hapa inasemaje na sheria zake...mgombea wakati huu wa kampeni kutembelea hospotali tena wodini....watumishi wa serikali...nurses, DR's na wagonjwa ku-keep attention na visit hii....mbona naona rafu za kijinga sana hizi.....
Ali fupi kweli kweli. Na mafuriko ya Lofa yalia watu wangapi?
Nyie ndio mnajipya, Maana FISADI sasa kawa Kiongozi wenu. Hamna sera sasa.CCM ni ile ile hata kwenye wimbo wao wamethibitisha. Wanayoyasema walishayasema mwka 2000-2010 lakini yameendelea kuwepo do haina jipya