Mama Samia ayateka majimbo ya Rombo na Vunjo

Mama Samia ayateka majimbo ya Rombo na Vunjo

Unajionyesha wazi wazi jinsi ulivyo na uwezo finyu sana wa kufikiri.
A loser like you will never have constructive arguments and irreproachable evidence. You are a Lofa just like your leader.
 
Samia unataka kura kwa wachagga ambao mnawaita maadui zenu? Si mmemtuma Diamond awatukane wachaga hovyo kabisa
Siasa za chuki ndio zimewafanya mpaka leo mbakie Dar. Na bado.
 
Upende usitake, na wewe uyo ndo raisi wako very soon. Utaki ama nchi
11898749_679123862189470_8944490428627987613_n.jpg
 
Kwanini mnaishi kwa matumaini wakati safari ya uhakika ipo,mmelogwa au ni laana inawaandama tuelezeni wengi wenu mkiwa vijana mmesahau mlisema nini kuhusu ufisadi na lowasa sipati picha hivi mnaishije kwenye hiyo familia kila mtu mnafiki,ni upumbavu tu na ulofa ndio unaowatesa na si kingine NYUMBU kabisa
 
Samia unataka kura kwa wachagga ambao mnawaita maadui zenu? Si mmemtuma Diamond awatukane wachaga hovyo kabisa

Hahahaaaaa soma ilani ya uchaguzi wa Ccm na soma kiapo cha mwanachama wa Ccm utakuta aina yoyote ya ubaguzi iwe kabila,rangi,dini na jinsia ni marufuku. Mnajihisi wenyewe kutokana na tabia zenu mbovu. Rais Magufuli atakuwa Rais wa Watz wooooote wakiwemo kina Mangi Wachaga
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo ameteka nini?Hayo matatizo ya hospitalini ya dawa hamna,sijui kitanda kina wagonjwa 3 hiyo ni yote chanzo CCM.
Haya aseme jipya sababu hapo atatudanganya wameshindwa 50 years wataweza 5years to come?
 
Siasa za chuki ndio zimewafanya mpaka leo mbakie Dar. Na bado.

kweli bwana cheki huyu mama anavyohangaika hadi wodini watu hawawezi msikiliza mtu asiejielewa na asiewaelewa hovyoooooo kama diamond ,huku mnawachukia wachagga huku mnawafuata wenzenu wana shule kubwa sio watu wa taarabu
 
Back
Top Bottom