Mijizi tu! Na wewe kidude tulia tulia urudi huku nzovwe tukutoe utumbo 2025Mama salma kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100
Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi:
Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili Ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi
Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100 ,isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana
Swali kwa Nini spika kajitahidi Sana kutetea hii isu ya mitungi mia ya makamba?
hii ni bei ya kujaza50000
Alafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,Mama salma kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100
Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi:
Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili Ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi
Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100 ,isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana
Swali kwa Nini spika kajitahidi Sana kutetea hii isu ya mitungi mia ya makamba?
Alimpa na kampeni alimpigiaamAlafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,
1.5 Bil100×300×50000 ..... sikusoma hesabu
mbona anaona ndo kwao, hatamani kupaacha!Yani umekaa ikulu miaka 10
Alafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,
mwisho wa siku leo karopoka kuusu mambo yaliyokuwa siri, kamfanya spika atoe povuAlafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,
Kununua siyo kujazahii ni bei ya kujaza
Ana kazi maalum kwa ajili ya mumewe.Alafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,
Familia imeficha mengi, kweli alionekana kwenye kampeni zake ila hatuwezi jua nyuma ya pazia, wakati mwingine mtu anafanya jambo kukwepa mauza uza katika jamiiAlimpa na kampeni alimpigiaam
Sio kweli , mmeo ni taifa kubwa ,Ana kazi maalum kwa ajili ya mumewe.
kununua kitaa ni karibia lakiKununua siyo kujaza