Kwanini hajamuachia safari mke mwenza?
yeye si jana tu katoka saudia......
ya kazi gani? umekuwa pesa?
sijui muungwana alibeba tu baada ya kuwa kesha zygotisha au vipi lakini sie twamtambua....Huyo mke mwenza anatambulika kiserikali?
Ukali upi unaozungumzia?Ila huyu mama alikuwa mkali sana alivyokuwa mwalimu primary hot damn!!
Ukali upi unaozungumzia?
Hivi mama wa kwanza ung'eng'e unapanda?
Mkuu Pdidy,Mama Salma Kikwete anakwenda Marekani katika jimbo la California,kwenye Mkutano wa Taasisi binafsi inayojulikana kama (USDFA),Mkutano huo utafanyika kuanzia tarehe 20/04 mpaka 22/04 katika mji wa Los Angeles,Licha ya First Lady wa Tanzania kuna First Ladies wengine 14 kutoka Africa (Kusini mwa Sahara) wamealikwa katika Mkutano huo ulioandaliwa na Celebrities Sharon Stone,Billy Zane na Danny Glover kwa kupitia Taasisi yao ya US Doctors For Africa (USDFA).Miongoni mwa watoa Mada katika Mkutano huo ni Mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza Sarah Brown na Mke wa Governor wa California Maria Shriver Schwarzenegger.
Mkuu naomba kidogo angalia vyanzo vya habari yako,Nauli na Malazi kwa First Lady na ujumbe wake vimegharamiwa na USDFA.
Huo ukali ndio labda ulimfanya muungwana kutafuta pumziko pembeni......Labda huyo mke mwenza hataki limelight ndio maana hatumuoni kwenye shughuli za kitaifa.
Mkali wa kuchapa mifimbo na kukufokea tuuu....
we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.Toka lini darasa la saba aliyefundishwa na mtu aliyefeli form four ung'eng'e ukapanda!!!!!!!!!!!!!!.
Apo alipo anakaratasi kibao alizoandaliwa kusoma.
we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.
huyu mama alifundisha shule yake ya mwisho mbuyuni primary -kabla hajaingia ikulu ...
alikuwa akifundisha darasa la kwanza na la pili,dizaini walimu wa UPE!
ndio maana hata akihutubia utafikiri anafundisha kusoma na kuandika,pale anapowataka hadhira warudie sentensi au the way anapoisisitiza utafikiri anasomea watoto wadogo hadidhi za alfu lele u lela!!!
Ili kujua zaidi Kuhusu Mkutano wa USDFA na First Ladies kutoka Africa ingia hapa:
Leadership for Health
Aisee unafanya kazi yako vizuri kumpigia debe Mama Salma, hongera.
But unfortunately kama nilivyoandika huko juu, anahudhuria ex oficio lakini siyo kwa sababu anaelewa suala hili au ana anything to contribute to that meeting. So we know that this is truly just a shopping expedition.
WELL SAID ..SHOPPING EXPEDITION ....INGEWEZA KUWA NAFUU KAMA TUNGEWEZA SEMA....SHE IS ATTENDING A TALKING SHOP....since she has nothing to neither understand nor talk ...in that meeting...,yet with 15 aides....haiwezi kuwa wote wamelipiwa ...lazima hazina yetu inayoteketea icheuwe kidogo hapo aiseeee!
i wounder kwa nini waandishi wetu wa habari huwa akirudi hawamuwahi pale JULIUS NYERERE ....wamuombe awape briefing ya hizo shopping festival anazohudhuriaga!!!!