Kumbe majuu kuzuri aisee.....Nani angekuwa kwenye nafasi yake asingekula nchi? Tuacheni unafiki! Mama umekipata kitumie, ukikikosa ukijutie.Cha msingi iwe ziara yenye kuleta manufaa na kwa wengine pia na siyo manufaa binafsi tu maana wananchi tunagharamia kupitia kodi zetu.
Kumbe majuu kuzuri aisee.....
Heeeee heeeee heeeeee!! haya ndo yale yakina Janet Musseven, shopping za majuu kwa visingizio vya business, tangu lini first lady na ziara za kiserikali? kwa nin asende mama Nagu? hapa Watz weshapigwa bao.Nani angekuwa kwenye nafasi yake asingekula nchi? Tuacheni unafiki! Mama umekipata kitumie, ukikikosa ukijutie.Cha msingi iwe ziara yenye kuleta manufaa na kwa wengine pia na siyo manufaa binafsi tu maana wananchi tunagharamia kupitia kodi zetu.
Mie lazima niende kwa AKA zile.......kumbe wengi mnapataka......wewe unaonaje?
Hivi mama wa kwanza ung'eng'e unapanda?Mgeni aje wenyeji tule!
Mie lazima niende kwa AKA zile.......kumbe wengi mnapataka......
yah mama salma kapata akitumie.......kwikwikwikwiWengi mnapataka??????????????????????????????????????????????
unajuaje sikitumii???yah mama salma kapata akitumie.......kwikwikwikwi
na wewe ukipata kitumie.......
ya kazi gani? umekuwa pesa?do u know me?
Mkw wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya kuona mumewe hatulii hata nyumbani nae kaamua kuanzisha safari usiku huu anatarajia kupanda pipa la KLM kuelekea USA akiwa na group la watu 15 kati ya hayo 13 wote wako BUSSINESS....kazi kwelikweli kama wazazi wako hawakauiba too late now
kila la kheri mama tunawatakia mlo mema na safari njema huko muendako
Plz hebu fafanua hapa vp?...afanye mazoezi apunguze unene labda ndio maana mzee anasafiri mara kadhaa sasa anamuacha home..nadhani anasafiri na bi mdogo sasa...though hajawa official..sio ngumu kwake.......
wauzaji wa sura ikulu..na wazururaji...kazi tunayo!!!!....anaenda USA kusema ZE ...ZE...HOME IS PROBLEM ..STREET CHILDRENI...na bakuli lake!!
ya kazi gani? umekuwa pesa?
Mgeni aje wenyeji tule!