Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
chi chat tuhamie wapi? kanisani kwake au?
kwanza huyu mama hana madawa kweli?
kwanza huyu mama hana madawa kweli?
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.
Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.
Walifungie kwanza Uhuru, Majira na Radio Uhuru. Yanaficha ukweli
Mimi sina uhakika sana na ukweli wa habari hii kwa sababu mletaji hakutaja source ili tupime credibility yake lakini kama ni kweli serikali ina mpango huo hautafanikiwa kwa sababu zifuatazo:
-1. Itakuwa inapambana na matokeo ya maendeleo ya technolojia na utandawazi kitu ambacho watu walioelimika kama waisrael, walio matajiri kama wachina na wamarekani wameshindwa kupingana navyo wakaamua kukubali yaishe.
2. Watumiaji wa mtandao huu siyo watu wajinga wajinga kama serikali inavyofikiri hivyo hata mtandao huu ukifungwa ni raisi sana wao kuwasiliana kwa njia nyingine ambayo hata mkono wa serikali houwezi hata kuufikia.
3. Kuhusu hoja ya mmiliki wa mtandao huu mimi kama mwanachama kipenzi sijawahi hata siku moja kuwaza wala kutamani kujua mwanzilishi wala mmiliki ila kwa sasa nafahamu kwamba wamiliki ni sisi wanachama na kwamba hata serikali.
Bunge au CCM wakianzisha mtandao unaokata contrutive issues kama huu mimi nitajiunga haraka na nipo tayari kuchangia ada za uendeshaji kila mwezi achilia mbali hii Jf ambayo maskini wa mungu sijawahi kuombwa mchango hata mbuni tangu nijiunge humu kulaaaaaleki !!!!!!.
Mtu msomi hatishiwi nyau bana!!!!
sasa ameamua kuliwasha ......huyu mama ni mwizi mkubwa sana...amedhulumu viwanja kibao kule morogoro na igoma mwanza
huyu mama asiwatishe lolote ...ni memba humu na hasa jukwaa letu a kule chini kule mbuyuni....hana lolote huyu
Kama mtu unatenda mema kunahaja gani ya kuogopa JF..ukiona hivyo ujue hajiamini pamoja na kuwa mchungaji.Hata mimi nimeshangaa kumbe huyu mchungaji naye anaijua JF! siajabu ana fake ID na kuchangia labda anachangia humu
1 Co 16:22 "Mimi Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kama mtu ye yote hampendi Bwana Yesu Kristo na alaaniwe. Maran-atha. Bwana wetu, yu aja!
Gal 1:8-9 "Lakini hata ikiwa sisi au malaika atokaye mbinguni akihubiri injili nyingine tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi huyo mtu na alaaniwe! Kama vile tulivyokwisha kusema kabla, sasa nasema tena, ikiwa mtu ye yote atawahubiria injili kinyume na ile mliyoipokea na alaaniwe milele!"
If you can get free milk..why keep a cow?
haya ni maneno ya mama rwakatare akiwaambia wateja wake kwenye ile biashara yake ya kanisa.
mama nimeisoam hii post na nimejikuta nacheka tu mwenyewe. asante sana mamaKwa mtu yeyote asiyependa changamoto,kukosolewa na mengine mengi yanayoweza kumfunza au kumuadabisha mtu hata ipende JF hata kidogo.
Ni kweli zipo nyzkati inahitsaji moyo kusoma jambo hapa,lakini pamekuwa ni chuo cha mafunzo na elimu dunia kwa wengi nikiwamo na mimi.
Nachoweza kuwashahuri viongozi wote wanao pitia hapa wakubali yote yaliyomo na kuwa na roho ya uvumilivu lakini zaidi wawe na roho ya kujifunza zaidi kutokana na wanayoyasoma.
Kiongozi mzuri sifa yake kubwa ni kukubali kukosolewa bila kuambiwa mabaya na udhaifu wako huwezi kuwa kiongozi safi na salama,hasa ukizingatia binadamu huwezi kuyajua madhaifu yako.
Wana JF songeni mbeli.Ni kweli moto wenu ni mkali mnatupika kwelikweli.
na spika aliwatambulisha kwa heshima na taadhima. Huyo mama anaogopa kivuli chake mwenyewe tu... labda ni laana ya ile mitambo ya Mang'ula aliyoifilisiJF Founder/team ilienda bungeni mwaka jana kama uzee haujafuta kumbukumbu zangu, huyo Mh Mchungaji Dr Mama Rwakatare siku hiyo hakuwepo bungeni?
du kajpalia makaa!hiv ana watoto?