Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

...anaogopa kuwa jamiiforums itakuja kutoa siri za mganga anayempa dawa za kudondoshea watu kwenye mimbari yake. Hamna ukristo pale,full-uchawi!!
 
Huyu mama anataka nae mambo yako tuyaanike humu.

huyu mama mimi naona kachanganyikiwa anaposema jf inaandika habari za uongo je hata yale richmond ni ya uongo hivi ukiweka kwenye mizani kati ya mambo ya uongo na ya ukweli yapi mengi, je kama anachukia uongo je jk, pinda, makinda na serikali kwa ujumla tuwachukulie hatua gani maana wamekuwa wakiwadanganya wanachi kila kukicha
 
Mchungaji Lwakatare atalaaniwa kwa anayoyafanya,anajidai mtu wa MUNGU kumbe mwizi mkubwa/fisadi,na inaonekana atakuwa kiburudisho cha wakulu,huyu mama hafai na inatakiwa aombewe aache ufreemason wake.
 
mtumishi wa Mungu atakula madhabauni.mama vp umeshatubu ile dhambii ya wizi mana every day unatuibia 330000.
 
Vitabu vitakatifu vinasema kuwa hamna mwanamke kusimama mbele ya madhabau na kumtolea kafara/sadaka Muumba,uyu mama amejitwika laana kwa kumtumikia shetani kwa jina la Muumba,namuombea kwa Mungu atubu maana uyu hatokanyanga ktk raha ya milele.
 
Mama aelewe kuwa Mungu ni mkamilifu na usijifanye ni mtumishi wake kama huna mikono safi. Arejee kwenye mambo yake akayasafishe yote ataona jamii itamkubali kama mfuasi safi wa Mungu. Jamii ni sauti ya Mungu kwa ujumla hakuna mtu safi anayeweza kusutwa na jamii. Jamii ikikukubali uelewe kuwa Mungu anakukubali.
 
Jamani huyu mama ni kahaba asiye na mume hivyo kijana akiingia tu anga zake ana**kwa!

Lakini nijaribu kuwakumbuka member wetu waliopo mjengoni: Stiven Wasira. Bi. Kiroboto. Samuel 6. Mtoto wa Makamba. Kilanja mkuu wa nchi...........wengine wa thithiem ongeza wewe!!

Hivi mswada wa kuifuta JF itapita kweli?
 
kama taifa kubwa la marekani walishindwa kutekeleza ishu ya SOPA & PIPA ndio hii ya kuifungia JF itawezekana?
SOPA= Stop Online Piracy Act
 

Huyu spika Ndugu Job Ndugai ati anamlazimisha waziri asema JF ni mbaya...kwa kweli namshukuru sana waziri ajaisema sana vibaya JF.Ila cha kushangaza watu wenye matatizo ndio wanaichukia sana JF.Huyu waziri ana shida na JF maana yeye ni msafi,wachafu ndio wanaiogopa JF.


huyo ndungai lazima aichukie jf..maana kuna file lake la namna alvyomtelekeza yule mkewe pale tabata.....
 
Napata taabu sana kuelewa kigezo kilichotumiwa na JK kumteua huyu mama kuwa mbunge! Hana mchango wo wote kwa wanawake, waumini wa dini yo yote wala jamii kwa ujumla. Kwa nini asishauriwe ajiuzulu ubunge na kuendelea na mambo yake?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kabla ya kuulizwa swali hilo zitto kabwe alipost kwa facebook kuwa swali namba 52 litakuwa linahoji mmiliki wa mtandao huu makini ,na hivi sasa kwa masikio yangu nimesikia likiulizwa ,binafsi nashindwa elewa wanawezaje kukazania uhuru wa watu kujieleza badala ya ishu kama ,MAWAZIRI WANAODAIWA KUOMBA RUSHW BAE,MGOMO MADAKTARI,BEI YA BIDHAA MUHIMU KUPAA,ukosefu ajira etc.
 
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.

JF inavyojulikana kila sehemu ni mtandao wa CDM
 
Mchungaji Lwakatare na Hilda Ngowe wanaweza wakawa wanaiweka serikali ya ccm matatani bila kujua. Internet na hasa mawasilainoa kwa njia ya internet imetambuliwa rasmi na UN kama haki ya binadamu. Hii ni baada ya facebook kusaidia nguvu ya umma keleta mageuzi Tunisia, Egypt etc. Hawa wapewa ubunge mezani wanafahamu hili?

Hilda Ngoye ametukanwa lini humu ndani kiasi kwamba anaona inafaa kutumia hela za walipa kodi kujadili huu mtandao badala ya kuongea kero za wananchi?

Mama Lwakatare huu ni mtandao wa jamii ya watanzania bila kujali itikadi, jinsia, dini unaowapa fursa ya kujadili mambo kwa kina na uhuru bila ya unafiki. Ni kupitia huu mtandao watanzania wameweza kujadili matatizo wanayopata kutokana na utawala mbovu, je we uko upande upi?

NB: Kuna thread ilitokeza humu siku za hivi karibuni kuhusu huyu mama ikidai anadhulumu kitu huko Morogoro. pengine kakasirika!
 
1 Co 16:22 "Mimi Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kama mtu ye yote hampendi Bwana Yesu Kristo na alaaniwe. “Maran-atha.” Bwana wetu, yu aja!
Gal 1:8-9 "Lakini hata ikiwa sisi au malaika atokaye mbinguni akihubiri injili nyingine tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi huyo mtu na alaaniwe! Kama vile tulivyokwisha kusema kabla, sasa nasema tena, ikiwa mtu ye yote atawahubiria injili kinyume na ile mliyoipokea na alaaniwe milele!"


Inabidi aanze kulaaniwa Mama Lwakatare kwa kuropoka ovyo, maneno yake hayaendani kabisa na jina na wadhifa aliokuwa nao.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna mwalimu wangu enzi alkuwa anatumia usemi''usiuchokoe mchokoo kabla mchokoo haujakuchokoa wewe'' akiwa na maana dont trouble the trouble before the troubler troubles yuu.huyu mama anatuchokoza kwa maana iyo anafanya tuibue ufisadi anaofanya hapa nchini,ngoja nikague faili apa i will be back.
 
Hata internet Caffee nazo zitawekewa mkwara kuhusu Jamii Forum
basi
hata simu waziweke mkwara sababu zaidi ya asilimia 70 tu/wanachangia kwa kutumia simu..majibu ya waziri nimeyapenda sana mbali na naibu spika kumlazimisha eti ajibu aki-refer jamiiforums!
 
Back
Top Bottom