dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Ndio maana ndoa zetu hazidumu unakuta mwanamke ana maamuzi yake na ww mwanaume ya kwako ndani ya nyumba hakukariki
Unajua nini Democrasia imeingia hadi kwenye NDOA unatumia ushawishi ikishindikana ndio hivyo unaamua kutumia njia mBADALA lkn huwezi kumlazimisha cz ni MTU mzima mwenye maamuzi yake