Mama dah hana mtoto ni peleke mahari nita toa 1b mama yangu tena nipo radhi nifanyieni connection kama ana binti wakuu atakaye fanikisha nitampa 200m maana nimegundua huyu mama amechangia mzee lowassa kuwa na busara sana bila shaka na mtoto wake atakuwa na uso wa kirafiki kama mama yake na tabia nzuri
Mke wake kagoma kumuombea kura kutokana na udikteta wake
Muda wote kucheka mpaka rahaa ila yule mke wa masolex ana nunaa full time
Nakumbuka 2009 nikiwa natokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza na Mohamed Trans ndani ya gari nilifahamiana na mtoto wa kike wa Magufuli, alikuwa ametoka shule Ya sekondari Morogoro anarudi nyumbani. Shule ilikuwa imefungwa kwasababu chakula kilikuwa kimeisha.
Kipindi hicho nilitafakari nikaona ni maigizo makubwa haya!
Unafikiri kwa ukaksi huo na zile pushap nyumbani patakalika kweli?
Mama huyu anafaa kuwa first lady... Ni mama wa mfano sana na inspirational figure kwa Dada zetu.. Hardwork pays
Mkuu acha tu hyu mama mungu ampe maisha marefu sijuwi nitafanya nionane naye nimpe zawadi kama mama yangu!Huyu mama nimetokea kumpenda kama mama yangu mzazi
Duuh kweli noma...
Hahahaha mkuu nitake radhi hahaha dah leo nimetumiwa audio yake karusha kombora la tusi kwa nape duh akinurisha mimi hilo nina patwa na kichaaa kama siyo kufa kabisa!Labda Aunt Ezekiel
Hahahaha mkuu nitake radhi hahaha dah leo nimetumiwa audio yake karusha kombora la tusi kwa nape duh akinurisha mimi hilo nina patwa na kichaaa kama siyo kufa kabisa!
Mama masolex acheke kwa raha gani??
Kwenda chooni kunaanzia mezani, kitanda kichungu jukwaa litanoga vipi??