Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Angekuwa anapigiwa kura huyu ningempigia tena kuliko yule wa bachelor wa TANROADS
Kumfafanisha Mama Maria Nyerere Na Mama Regina Lowassa Ni Sawa Na Kutaka Kulazimisha Mfanano Wa Mchezaji Nyota Wa FC Barcelona Ya Nchini Hispania Lius Suarez Na Mchezaji Mchovu Wa Yanga FC Ya Nchini Tanzania Malimi Busungu. Ukome Kumfananisha Mama Yetu Mama Maria Nyerere Na Huyo KOMWE Na MDOMO MPANUKO Wako.
Huyu mama mda wote yeye ni kutabasamu tu
Huoni yuko na mnafiki karibu hapo!!! acheke ili aambukizwe unafiki Wa kula mihogo!!!!!!
Mama maria mama ako toka lini kilaza wewe??????
Sasa Kama Mpaka Umri Wako Huo Hujui Kuwa Mama Maria Nyerere Ni Mama Yetu Wa Taifa Watanzania Wote Basi Una UPOPOMA ULIOTUKUKA.
Jibu mtalipata tarehe 25, mama Janet sio drama queen au mama mcharuko anajiheshimu, mcha Mungu na low profile. Vile vile still ni mtumishi wa umma na ukiwa mtumishi hutakiwi kujihusisha na siasa na Anaelewa hilo thus y anaingia kidogo. Msiojua ndio mnakaa midomo juu huyu mama Janet anamsupport mumewe asilimia 100 hata Dom alikuwa nae kwenye mtanange. Wakati wakina Lowasa wanahonga mapesa mama Janet alisimama na kumwambia mumewe asitoe hata tsh kumi kama ni kushinda Mungu ndie atakaye amua.... What a great woman indeed??, halafu hadi watoto wao wako hivyo hivyo very decent na low profile so guys msiongee msiyojua
Kama umama wa taifa unajumlisha mpaka wenye akili kama zako!!basi umama ni kazi sana.
Huyu ndio Mama Maria wa pili....
![]()
LOWASSA Kukampeni Kumemshinda Kwa Sababu Ya Kuwa Hoi Inabidi Amtume Mke Wake.
Kweli LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA
LOWASSA Kukampeni Kumemshinda Kwa Sababu Ya Kuwa Hoi Inabidi Amtume Mke Wake.
Kweli LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA
LOWASSA Kukampeni Kumemshinda Kwa Sababu Ya Kuwa Hoi Inabidi Amtume Mke Wake.
Kweli LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA
Muda wote kucheka mpaka rahaa ila yule mke wa masolex ana nunaa full time