unapigwa miti ...?kumfafanisha mama maria nyerere na mama regina lowassa ni sawa na kutaka kulazimisha mfanano wa mchezaji nyota wa fc barcelona ya nchini hispania lius suarez na mchezaji mchovu wa yanga fc ya nchini tanzania malimi busungu. Ukome kumfananisha mama yetu mama maria nyerere na huyo komwe na mdomo mpanuko wako.
hata mkeo alishabitonya kuwa atampa kura yake lowassa....hata kwa kumtawaza mumewe kila anapoukweka hovyo hovyo majukwaani tayari ni mshindi tu.
Bahati mbaya sana akiwa CCM hatukumfahamu vizuri mama huyu, mazingira yalimbana CCM. Ukweli mama huyu amekuwa kivutio kikubwa kwa wanaomfutilia. Tumuombee awe First Lady hapo ndipo atavutia wengi zaidi.Yani First Lady wetu bado yuko ngada kinyama!
Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako
Nimecheka sana mkuu kwa hiki ulichoandika kumbe tuko wengi ila mimi nimepata njia mBADALA nitaficha Card yake hadi muda wakupiga Kura uishe
Nimecheka sana mkuu kwa hiki ulichoandika kumbe tuko wengi ila mimi nimepata njia mBADALA nitaficha Card yake hadi muda wakupiga Kura uishe