Mama Regina Lowassa Leo

Mama Regina Lowassa Leo

Akija kuukosa u first lady si ajabu hata ndoa itakufa. Ataumia kuliko Mushumbusi. Otherwise she is OK na akiendelea kuwa humble na kuacha kuringia mali za Watanzania atatuwakilisha vizuri.
 
Hahaha hizi comments zimenifanya nicheke sana...

Duh!!!

Mama masolex acheke kwa raha gani??
Kwenda chooni kunaanzia mezani, kitanda kichungu jukwaa litanoga vipi??

Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako

Acha tu mkuu, mengine ni majanga.Sema tu kwasababu hatufanyi kampeni za vijembe!
Ila nauhakika mtu ange~zoom nyumbani kwa Magufuli tungeona samaki mwenye mwanya.
 
Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako

Hahahah inauma sana at the end of the day I have realised kwamba laiti kama wao ndo wangekua the one pays all the bills,hakika wangepata busara kuhusu ukawa
 
Wee unafir•﹏•(・∀&#12539😉

Mmmmaamaeee...!!!

CCM wote mfu....!!! kazi wizi wa nchi hii tu, mmemaliza nchi na wachina, sasa mwisho wenu, tutawakata magovinda...!!! blalful...!!

Punguza Jazba na Matusi Halafu Ukae Mkao Wa Kunyolewa Ili Tukushughulikie. Hoja Zote Zinajibiwa Hapa.

Kwa Sasa Nenda Ukanywe Maziwa Ukalale - Ukiamka Urudi Ukiwa na Lugha Safi na Ya Ki-Utu-Uzima.

LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA
 
Lowassa hata kama angeamua kukaa nyumbani kwake Monduli , Wana mabadiliko wangeendelea kufanya kampeni. Hayo ni maneno yako ya kashfa ambayo mwisho wa siku hayata kuwa yamekusaidia lolote zaidi ya kukuongezea stress kwani watanzania walio wengi wanaendelea kumpenda na kujali utu wake.

Kama Kuna MWANAMAGEUZI Anayefuata Mzoga Kuwa Ndio Umkomboe, Basi Inabidi Ajipeleke Mwenyewe Mirembe Hosp ya Vichaa.

Ukiambiwa Huyo Ni Chui (LOWASSA) na Sio Paka, Ni Vema Ukasikiliza na Kujitahadhari Kuliko Kujaribu Kumchezea Huyo Chui.
 
Uso mdogomdogo unajongea...toroka uje tunakupendaaaaa. Nawe umekubali mwaka huu first lady tumepata eeh.
Hahaha! Hakuna first lady hapo, maigizo tu ili kuwafanya Wasiojielewa waamini kweli atakuwa.
 
Kama Kuna MWANAMAGEUZI Anayefuata Mzoga Kuwa Ndio Umkomboe, Basi Inabidi Ajipeleke Mwenyewe Mirembe Hosp ya Vichaa.

Ukiambiwa Huyo Ni Chui (LOWASSA) na Sio Paka, Ni Vema Ukasikiliza na Kujitahadhari Kuliko Kujaribu Kumchezea Huyo Chui.
Tukasikiliza kitu gani kigeni kijana. Unachofahamu wewe sio lazima kila Mtanzania akijue. Wewe ndio unae fahamu kwamba Lowassa ni chui ,Hiyo ikusaidie wewe. Sisi wengine tunachofahamu ni kwamba Lowassa ni binadamu kama binadamu wengine. Hakuna mtu aliye mkamilifu duniani.Ndio maana hata wewe hapo unatumia muda mwingi kumnyooshea binadamu wenzio kidole badala ya kujitazama na kujiuliza usahihi ulio nao katika kuzungumzia mtu mwingine umeupata kutoka wapi.
 
Muda wote kucheka mpaka rahaa ila yule mke wa masolex ana nunaa full time

Mi napenda hilo cheko lake daah lina mpendeza sana,angekua haja olewa na Mr president Lowassa Ninge mtafuta walahi......
 
Jibu mtalipata tarehe 25, mama Janet sio drama queen au mama mcharuko anajiheshimu, mcha Mungu na low profile. Vile vile still ni mtumishi wa umma na ukiwa mtumishi hutakiwi kujihusisha na siasa na Anaelewa hilo thus y anaingia kidogo. Msiojua ndio mnakaa midomo juu huyu mama Janet anamsupport mumewe asilimia 100 hata Dom alikuwa nae kwenye mtanange. Wakati wakina Lowasa wanahonga mapesa mama Janet alisimama na kumwambia mumewe asitoe hata tsh kumi kama ni kushinda Mungu ndie atakaye amua.... What a great woman indeed??, halafu hadi watoto wao wako hivyo hivyo very decent na low profile so guys msiongee msiyojua
Yule mama amenyanyasika muda mrefu. Anaogopa kushiriki dhambi ya kuwapa rais atakae wanyanyasa watanzania kama anavyonyanyasika yeye
Kutwa kufokewa kama mgambo
 
Eddo hakufanya kosa alilenga mule mule....ndo maana hua namuita 'Master '...Lowassa anajua kuchagua.
 
Tunapokuwa tunakashfu na kukejeli tukumbuke jambo moja tu "kuna Mungu" kila mmoja kwa Imani yake atambue hilo.unaweza kukutana na mikosi mbeleni ukajiuliza ulikosea wap ukatafakari sana usipate majibu...kumbe ni jambo dogo tu JF ulifanya na likaleta shida.tukumbuke utu wetu na utanfawazi usitufanye tukaacha asili,dini zetu na usitufanye tukaonekana wendawazimu.
 
Unamjumuisha Hata Yule Mgombea Wenu Urais Bingwa Wa Kutoa Haja Kubwa Majukwaani. Hakika Umama Ni Kazi Sana!
Mgombea gani???,yule anayeruka mapanga jukwaani,kupiga push up,na kupitia juu ya gari kabla halijasimama???maskini mama mbona una watoto wengi wa ajabu hivi!!!
Akija kuukosa u first lady si ajabu hata ndoa itakufa. Ataumia kuliko Mushumbusi. Otherwise she is OK na akiendelea kuwa humble na kuacha kuringia mali za Watanzania atatuwakilisha vizuri.

Hizi akili unazilinganisha na za shemeji yenu mshumbushi!!!!kumlaza kaka yenu kwenye gari!!

We subiri kuwakilishwa kama ulivyosema mwisho hapo.
 
Tukasikiliza kitu gani kigeni kijana. Unachofahamu wewe sio lazima kila Mtanzania akijue. Wewe ndio unae fahamu kwamba Lowassa ni chui ,Hiyo ikusaidie wewe. Sisi wengine tunachofahamu ni kwamba Lowassa ni binadamu kama binadamu wengine. Hakuna mtu aliye mkamilifu duniani.Ndio maana hata wewe hapo unatumia muda mwingi kumnyooshea binadamu wenzio kidole badala ya kujitazama na kujiuliza usahihi ulio nao katika kuzungumzia mtu mwingine umeupata kutoka wapi.

  1. Kugombea Uraisi Sio Suala la Kiroho, Bali ni Suala la Kisiasa.
  2. Wasafi Wapo Wengi, MAGUFULI Ni Mfano Mzuri.
  3. Ni Vizuri Kuwa Umetambua Kuwa LOWASSA ni FISADI.
  4. Kwa Hiyo Tuachane na Huu Mzoga, LOWASSA, Ili Asisogelee Kabisa Ikulu Yetu Takatifu.
 
asante mkuu.ubarikiwe wewe utakayeishi milele.Mungu hadhihakiwi
 
Mama dah hana mtoto ni peleke mahari nita toa 1b mama yangu tena nipo radhi nifanyieni connection kama ana binti wakuu atakaye fanikisha nitampa 200m maana nimegundua huyu mama amechangia mzee lowassa kuwa na busara sana bila shaka na mtoto wake atakuwa na uso wa kirafiki kama mama yake na tabia nzuri

Anae mtoto wa kike. Ila hutomuweza kwa sababu kaolewa na tajiri moja mkubwa sana hapa Tz. Wanaishi masaki.
 
asante mkuu.ubarikiwe wewe utakayeishi milele.Mungu hadhihakiwi

Hakuna Atakayeishi Milele, Lakini Usiogope Kusema Ukweli Kwani Ndio Misahafu Ya Dini Zote Inavyotuasa.

Msema Kweli Ni Mpenzi wa Mola

FISADI PAPA LOWASA = HATUFAI
 
Back
Top Bottom