Mama pale kijijini tunamkumbukaga tunajenga heshima bar?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,694
Reaction score
870,416
1412088671352.jpg1412088687207.jpg1412088855684.jpg
 
Nawakumbuka sana Boyz II Men
Mama you are the queen of my heart
Nakupenda sana mama
Na siweki heshima bar kabla sijajua wewe una hali gani
mshana jr vipi kwako
 
Last edited by a moderator:
Hapo utakuta baba watoto yupo klabuni anatandika ulabu. Arudipo nyumbani akipewa ugali maharage anamtupia mkewe usoni!
 
....daah mazingira ni mazuri sana nimepapenda ....
 
Nawakumbuka sana Boyz II Men
Mama you are the queen of my heart
Nakupenda sana mama
Na siweki heshima bar kabla sijajua wewe una hali gani
mshana jr vipi kwako

Heshima yako mkuu Mr Rocky, naona na wewe unakimbia kiaina
Jukwaa la Siasa na kuja huku. Wenzio tumeshaweka makao huku
na kukimbia stress za siasa za nchi hii. Muulize mshana jr anajua hilo...
 
Bishop hiluka lile jukwaa mnaliweza nyie bana maana lile lina stress tupu na unaweza kuishia kula ban ukarudi kuwa mchunguliaji
Bora tubaki na akina mshana jr huku kupata burudani ya picha
 
Am sorry to say this si kawaida yangu na naheshimu mno maoni ya wengine na mgongano wa mawazo pia LAKINI siasani kuna wapumbavu wengi kuliko wajinga...!!! Naumia kusema hivi lakini ndio hali halisi
 
mshana jr you said it all
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamjibu swali? Je mnakumbuka mama/wazazi weni kule kijijini au ni kugonganisha glasi baa tu? Wametuhangaikia kwa kial hali kwa hiyo ni wajibu wetu kuwapa wanachostahili angalau wapunguze makali ya huko vijijini.
 
pembe wengi hapa wanashikwa na kigugumizi kwakuwa ndo wahusika wakuu
 
Last edited by a moderator:
watu wengine tunajitafutia laana hivi hivi mtu umebebwa tumboni kwa huyu mama kwa miezi tisa lakini sa hizi waaalaaa mtu hamkumbuki huyu mzazi ? kweli hata Mungu hawezi kuzuia hiyo laana
 
hii barabara naona ni ameneo waliyopita akina Kinana majuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom