Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo
hivi ni lazima useme ulipanda ndege??? sema tu nikiwa safarini kutoka mwanza...mweee jamani