Pole Sana mdogo wangu duh !!!God bless youHabar wa mmu.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani.Alichomwa na kitu mguuni wik 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda.Kapimwa magonjwa mengi lakin hamna kitu......leo roho imeniuma coz mguu umeanza kutoa harufu na tena ukijan umeanza.
Naumia sana....nahitaji maombi yenu anaitwa Vicky
Pole Sana mdogo wangu duh !!!God bless you
Pole sana kalumbu!
Mpime Mama blood glucose level yake kwanza! Maelezo yako likely white blood cells hazijaenda kuponyesha pale alipo jichoma na hii inawezekana sababu ya blood flow sio nzuri!
Amen......asante,ndo nasubir pakuchwe aiseee.Yaan naona usiku mrefu
Nitakuombea sala ya miujiza ya Mtakatifu Yuda
Mama ana kinga ya tetunus?Muulizeni Dr kuhusu hiyo pia!!
Hahaaaaa! (Its not a lauhjing matter) Yuda Tadei jst incase umedhani ni Yuda Escariot. Lol. Wewe si unataka maombi? Basi tulia. Hii sala mwisho wa matatizo na ubishi ikienda hairudi hivi hivi.Yuda tena
Pole sana, Mungu yupo atamponya.
Hahaaaaa! (Its not a lauhjing matter) Yuda Tadei jst incase umedhani ni Yuda Escariot. Lol. Wewe si unataka maombi? Basi tulia. Hii sala mwisho wa matatizo na ubishi ikienda hairudi hivi hivi.
Kuna mtu ogidini kwao maboss tu ndo walitakiwa waende kwa madiba refresher course. Yeye ni juniou senior flani, akasali hii sala potelea pote aende yeye na si bosi wake. Amini usiamini Mkurugrenzi alimrecomend kama utani na kukomalia anatska aende huyo mdau si bosi. Bosi kavimba wee, kabana kaachia. Keshajirefresh ndo karudi siku si nyingi. CHEZEA SALA YA MIUJIZA WEYE!?
Pole sana mpendwa kweli kuna mdau amekushauri ucheki diabetes. Hata mimi nashauri hivyo, I'm telling u out of experience dear, my mom had stroke n she's diabetic nowadays. I can imagine what u r coin thru. Mungu akutie nguvu.