Mama Ndalichako kakague "Private Schools"

English medium schools ni uozo! Ajabu wazazi hawaoni ni janga kwa watoto wao. Funga English medium schools usajili upya. Walimu huko wengi ni uozo mtupu.
Peleka mwanao kisw medium,hukulazimishwa
 
we mweu kweli, hivi na tahaluma ya ualimu ni ya kusemea, wakati enzi zetu walio feli wakina kapuku, forum ndo walio jaa uko, ingekuwa unawasemea walimu wa kipindi kile cha babu yangu mwalimu wa kwanza kijijini kwetu Teache Q7, ningeelewa! ila wewe hakuna kitu ni mwendo kasi! tu!
 
Waalimu asilimia kubwa ni VILAZA ndio maana Private school wanaamua kuajiri watu wengi waliosoma kozi nyingine lkn wanajua vitu..

Wanafunzi wengi shule za serikali wanafeli kutokana na ubovu wa Waalimu.
 
Toka lini Mwanafunzi akafaulu kutokana na Mwalimu kujua kuandika Lesson Plan na Scheme of work???


Swala ni je wanatimiza Majukumu yake??... Nafahamu vijana kadhaa hawana kitu kichwani lkn wana vyeti vya Ualimu.....
 
Pole kwa kukosa ajira shule binafsi
 
Toka lini Mwanafunzi akafaulu kutokana na Mwalimu kujua kuandika Lesson Plan na Scheme of work???


Swala ni je wanatimiza Majukumu yake??... Nafahamu vijana kadhaa hawana kitu kichwani lkn wana vyeti vya Ualimu.....
Ngoja mama apite huko, utaona madudu atakayoibuka nayo halafu mtanielewa.
 
Mmh baadhi ya private schools sio zote...private schools wanatoa malipo mazur sana..kuna jamaa alimaliza ud computer scienc akaenda kuwa mwalim uko kahama na jamaa alkuwa vzr...sasa hiv amejenga na anausafir...
 
Kuijua kivipi hiyo pai
 
Usimtafutie mama wa watu ugonjwa wa moyo bure maana atakayokutana nayo ni matapishi na uozo mtupu.

Aanze na hizi shule zao za CCM a.k a umoja wa wazazi najua hawataweza kutoka hadharani na kusema walichokikuta ndani yake.
 
Acha uongo, div 4 huwezi kwenda chuo kikuu
 
Mimi ni mwl na nimeshirikiana sana na shule za private.
Usitetee usichokijua ndg, kuna walimu kule mpaka wanawalipa wenzao fedha ili wawasaidie kutunga mtihani wa mhula.

Kuna baadhi ya shule unakuta mwl kwa taaluma ni watatu tu. Wengine waliobakia ni watoto wa fulani na fulani ambao hawana taaluma ya ualimu au walisomea ualimu na ku-disco.

Kuna shule za private ukinikabidhi nisimamie mtihani wa mock au pre-national matokeo yake ni machafu hatari ila kamati ya ufundi ikikaa katika mtihani wa taifa shule inaongoza mkoa.

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni ndg yangu.
 
Acha uongo, div 4 huwezi kwenda chuo kikuu
Wewe ndio hujui na unataka kuendelea kutojua, wale wa equivalent kumbe wana div one? Ushawahi kusikia neno mature entry? Je Ushawahi kusikia kitu kinaitwa foundation course? Kafanye utafiti ndio uje useme huo uongo
 

Kuna shule za Private na Vishule vya private, wewe unaongelea vishule, unakuta mwalimu analipwa laki 5
 
Umeamkia wapi? Kwenye pipa la unafiki na wivu! Kasome kayumba ni size yako.
 

Kati ya zile zilizoingia 10 bora tutajie ni ipi haina walimu wenye viwango???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…