''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

...teamo, kwema huko?

shem na kabinti wanaendeleaje.
hivi pampers au nepi zinauzwaje siku hizi?
halafu vichanga vya siku hizi vinakula balaa, unanunua maziwa gani ya kopo? Bei?
maana naskia lactogen na s-26 zilishapigwa marufuku. Anyway,...

kumradhi wajemeni kwa kwenda nje ya topic,...namjulia hali tu huyu jamaa yangu hapa.
ha ha ha ha!
 
...Teamo, kwema huko?

Shem na kabinti wanaendeleaje.
Hivi Pampers au nepi zinauzwaje siku hizi?
Halafu vichanga vya siku hizi vinakula balaa, unanunua maziwa gani ya kopo? bei?
maana naskia Lactogen na S-26 zilishapigwa marufuku. Anyway,...

Kumradhi wajemeni kwa kwenda nje ya topic,...namjulia hali tu huyu jamaa yangu hapa.

Hivi watoto bado wanapewa GRIPU WOTA? AU NI SAFARI WOTA?
 
Back
Top Bottom