''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

How? Please explain...

hehehe!
hapa inabidi USABSTANSHIETI.....

2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA

Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?
 
Nyie wenyewe ndio mna cause those difficulties unajua halafu unakaa kimya for the sake of protecting your marriage i guess your an angel mbona mkipigwa mwasema

Inawezekana, lakini people says-u try mpaka pale unapoona unashindwa then u can let it out, so ukiona mtu anakaa kimya-ujue at the moment she is tryn her best to maintain the situation, hadi akilitoa basi ujue wewe umezidi
 
Sina uhakika kwa yule anaye lazimisha anakuwa na nini kichwani, na kama its the idea of kuheshimika basi that's a very big mistake, ndoa haimaanishi heshima na vile vile kuwa mpango wa nje si maadili mema maana unakuwa ni chanzo cha kuharibika kwa ndoa ya mtu fulani, we are not supposed to cause unhappiness kwa wengine but to support them in fulfiln their happiness!
''mpango-wa-nje'' ni ukweli ambao ''mama wenye nyumba wengi'' wanaujua na hawangependa kuuzungumzia kabisa,

siwezi kuamini kwamba ''mpango-wa-nje'' unasababisha MAJONZI ndani ya nyumba,hilo nalipinga tena umenisaidia kabisa kwamba wakina mama wanajua kabisa the whole project of mpango wa nje and yet they do love their husbands.....

shida huwa inakuwa SHIDA pale ''mpango-wa-nje'' anapotaka kuweka MAKAZI kwa mume wa mtu.....!hapo ndo mziki unapoanza sasa....
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?

Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?
unajua bwana mkubwa hatari ninayoiogopa hapa ni kwamba if i go further nitaambiwa I AM GLORIFYING....!lakin the truth of the matter ni kwamba asilimia kubwa kidogo ya wanaume wana hii project ya ''mpango wa nje''.sasa inawezekana kuna ''kitu'' kinachowavutia huko ambacho labda sijakitaja hapo juu.....

otherwise ingekuwa ni kwa sababu TAJWA hapo juu pekee basi ''mpango wa nje'' isingekuwa HEADACHE
 
Mkuu endelea maana tukianza kuogopa kuweka mambo wazi tutabadili na jina la jukwaa
 
''mpango-wa-nje'' ni ukweli ambao ''mama wenye nyumba wengi'' wanaujua na hawangependa kuuzungumzia kabisa,

siwezi kuamini kwamba ''mpango-wa-nje'' unasababisha MAJONZI ndani ya nyumba,hilo nalipinga tena umenisaidia kabisa kwamba wakina mama wanajua kabisa the whole project of mpango wa nje and yet they do love their husbands.....

shida huwa inakuwa SHIDA pale ''mpango-wa-nje'' anapotaka kuweka MAKAZI kwa mume wa mtu.....!hapo ndo mziki unapoanza sasa....

ANGALIZO: kumbuka kuwa mama yako mwenye nyumba ni mpango wa nje wa mtu mwingine!
Nawasilisha!
 
Hivi unafikiri hawajui...? They are just not telling u what they know coz they are wise enough to know that they don't want their families to fall apart, but they know and they live in such horrible circumstances!! How difficult it is to being a woman...and more difficult when u are married!

walio wengi wanajua bana......!
enewei hata hivyo kimey haiwezekan kwamba ikawa ''NGOMA DROO''
Hapa wanajua kwa kuambia au kuona? mi najua wakiwa na ushahidi ndani hakukaliki!:bump:
 
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?

naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....

ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:

1)-MAMA MWENYE NYUMBA
-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake
-Ndiye atakaye kuvalisha mapapampasi na kukuchambisha kanyesha ikiingia kwenye mwili wako
2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA
-ana nafasi kubwa ya kukuletea kanyesha toka kwa wakalamba wenzio

TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?

Nimechangia tayari
 
unajua bwana mkubwa hatari ninayoiogopa hapa ni kwamba if i go further nitaambiwa i am glorifying....!lakin the truth of the matter ni kwamba asilimia kubwa kidogo ya wanaume wana hii project ya ''mpango wa nje''.sasa inawezekana kuna ''kitu'' kinachowavutia huko ambacho labda sijakitaja hapo juu.....

Otherwise ingekuwa ni kwa sababu tajwa hapo juu pekee basi ''mpango wa nje'' isingekuwa headache

mbona sasa unaanza kujihami na wewe atakayekuja akihitaji kuchangia sawa asipotaka aache
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?
hebu msome vizuri huyu hapa dada/mama/kaka smile:
kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana
unajifunza nin hapo?
...kwamba ''mama mwenye nyumba'' kabla ya kuwa '''mama mwenye nyumba'' lazima apitie kwenye hizo sifa na viatu vya ''mpango wa nje'' though yeye hatakuwa ''mpango wa nje'' kwakuwa ndo anakuwa wa kwanza.

YANI NINACHOKIONA HAPA ni kama ''a circle'' of events fulani hivi
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?

ha ha ha!
unaulizia HATIMA ya ''mpango wa nje''?
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?

Smiles the missing part kwenye argument ya TEAMO ni kuwa, amesema jinsi 'mama mwenye nyumba' anavyobehave au anavyoplay role yake kwenye ndoa, halafu ikaja part ya 'baba mwenye nyumba' anavyoitendea 'mpango wa nje'......kuna missing link hapa

Ni kama tunalinganisha vitu viwili tofauti....huenda kwa kuanzia tungelinganisha behaviours only za 'mama mwenye nyumba (MMN)' na 'mpango wa nje (MN)'...so TEAMO arekebishe kidogo hapo
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?

Kupewa nafasi ya kudeka unavyotaka, Hii nafikiri ni ngumu kuifanya kwa mama mwenye nyumba!!!!
 
Smiles the missing part kwenye argument ya TEAMO ni kuwa, amesema jinsi 'mama mwenye nyumba' anavyobehave au anavyoplay role yake kwenye ndoa, halafu ikaja part ya 'baba mwenye nyumba' anavyoitendea 'mpango wa nje'......kuna missing link hapa

Ni kama tunalinganisha vitu viwili tofauti....huenda kwa kuanzia tungelinganisha behaviours only za 'mama mwenye nyumba (MMN)' na 'mpango wa nje (MN)'...so TEAMO arekebishe kidogo hapo
ha ha ha!
a point to note hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom