Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

duu! mchane live kwamba humtaki kama anataka kux mwambie umuunganushie kwa baba yako coz ndo lika yake
 
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?

Mmewe alikufa kwa kitu gani? Hakikisha msafi. Si hana mme au mtu kwa sasa. Wee safisha rungu, ila iwe siri yenu. Mi sijafika pia hiyo 31 ila kama ana mvuto na yuko msafi kiafya na hana mtu, ningegonga tu. Narudia, kama ana mvuto ceteris peribus, agongwe tuu.
 
Umeona ee mimi mwenyew nimeshangaa kwanini asimkatae akamuonesha msimamo kuliko kumwambia tutafanya kesho,ameshamuahidi sasa huku anataka ushauri wa nini?
muone daktari haraka una matatizo .
 
Na Je, unajua na umejiridhisha kuwa huyo mumewe kafa na nini?...Kama huna uhakika na wewe mtege mwabie uko tayari lakini mkapime ngoma kwanza....matokeo ya mzani yakiwa hasi (-) basi, mliwaze mamako kidogo kidogo,na zaidi ya yote ni " MAMA MWENYE NYUMBA🙂
 
Mpatie mama mzigo afurahi umepewa ili usaidie wasionacho
 
Kwa ajili ya kutosumbuliwa kodi we kamle tu, ila uvae!!
 
Hukupiga kweli na wewe umesema unahamu na alikuja na kanga tu ndani hajavaa kitu? ilikuaje ukamruhusu akaingia mpaka chumbani kwako huo ujasiri aliupata wapi? itakuwa kuna mazingira umetengeneza yamemrahisishia kama kweli haujapiga kuhama sio suluhisho utahama nyumba ngapi? na kama unavyojua wenye nyumba wengi ni wanawake jiwekee restrictions mwenyewe tu huo ndo uanaume
 
Mkuu siyo kwamba nashindwa kumla tatizo ni namna nitakavyoonekana kwa watoto wake na umri wake mkuu. kumbuka watu kama hawa ukijirahisi tu ndo inakuwa kamchezo ka kila cku.

Ningekuwa wewe ningekuwa nafikiria juu ya magonjwa zaidi ya hao watoto...umeelewa baba mwenyenyumba!? AKA Landlord!
 
Huyu jamaa tayari kashakamilisha hilo zoezi na huyu mama.....anatafuta justication ya watu. Haiwezekani m'ke akuzoee hivihivi mpaka akukalie utupu kama hujaonesha nia ya kuwa nae. Sema umenasa unaangalia namna ya kuchomoka.
 
Back
Top Bottom