Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
Yeye umri wake ni "above 50" na wewe ni "above 27"...inawezekana mnalingana umri kwa sababu "above 27" yaweza kuwa 30,40,50 au 55,usimwone mwenzio mzee
 
wengine wanashabikia huenda ni mama yake mtu anashauri aliwe papuchi, heri yao na yetu ambao mama zao hawako Mwanza na ni 70s
Hahahaha...comrade umenichekesha vibaya!! Mtu anashabikia jamaa ale papuchi kumbe anashauri mamake apigwe pipe..! Kweli ukifikiri unaona mantiki ya hoja yako.

Kwa walio na single mothers in their 50's wasishauri hapa..lol
 
Yeye umri wake ni "above 50" na wewe ni "above 27"...inawezekana mnalingana umri kwa sababu "above 27" yaweza kuwa 30,40,50 au 55,usimwone mwenzio mzee
Exactly..!
 
Wengine bana, we kula tu, na mie ninanvyowajua vijana yaani umemruhusu ameingia chumbani kwako mpaka kitandani?????? umeishakula wewe hapa unatafuta faraja tu ili ujue kilichomuua mumewe.....
 
Kula wewe....tena usimtangazie mtu.....iwe siri yenu na ukumchoka tafuta nyumba kimyakimya uhame....
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
 
Ha ha haaa,
Wenzio hao wa umri wako ndo wanatutolea mimacho huku bongo.
................. sijasema mimi lakini...........
526-CAMBODIA_AIDS_womanImgMasaruGotoWorldBank.jpg
Mwanamke aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi wa Kikambodia ambaye tokana na hali ngumu ya maisha aliamua kujihusisha na ukahaba akiwa katika siku zake za mwisho wa uhai huku watoto wake wakiwa na huzuni wakimwona mama yao aliye tegemeo la maisha nakata roho.

aids-patient_801_600x450.jpg
Mgonjwa wa ukimwi afya yake ikionyesha kudhoofika kusiko kawaida na hivyo kusubiria siku siku uhai wake utakapotoweka, unakufa huku unajiona ukihesabu siku zilizosalia.

images.jpg
Mgonjwa wa ukimwi aliyejitambua na kuamua kujitangaza kuhamasisha watu waepukane na njia zinazoeneza ugonjwa huo.

Niseme mwanamke ni mjuzi wa kumsoma mwanaume na akionyesha dalili za kuwa ni laini kama kiini cha yai basi mwanamke huanza manjonjo ya mitego. Vinginevyo mwanaume akisomeka hana mpango wala kuonyesha dalili ya kuwa tete mwanamke kawaida hunywea. Kijana ukweli umeonyesha dalili za kumhusudu au kufurahia akifanyacho sasa kazi kwako amekuweka kikaangoni tayari kupakuliwa, kile kilichomwua mume wake usipokiogopa utashtukia unahesabu tu siku za kuishi duniani wakati ungali kijana mbichi.

Mwanamke kuonyesha dalili za kuvutiwa na mwanaume ni jambo la kawaida na kibinadamu, lakini mwanamke mwenye akili nzuri asiye na jambo la kipekee akiona mwanaume haonyeshi dalili huishia kutuliza mzuka. Lakini ukiona anakazania kwa kiwango kama ulichosema uwe na mengi ya kujiuliza na zaidi historia ya kifo cha mume wake jaribu kufanyia utafiti usije kuwa victim.
 
Mkuu siyo kwamba nashindwa kumla tatizo ni namna nitakavyoonekana kwa watoto wake na umri wake mkuu. kumbuka watu kama hawa ukijirahisi tu ndo inakuwa kamchezo ka kila cku.

Kuna jambo muhimu naona unalijua kwamba wengi hawajui kwamba kujenga mazingira mazuri na heshima unapoishi na kwa majirani ni jinsi unavyojiheshimu. Kujirahizishia utakuwa gumzo hapo mtaani na kabisa ukigundulika unajiachia hivo kwa mama ambaye ni kama nyanya yako.

Mwanamke anayejiheshimu vigumu kujihusisha kimapenzi na mwanaume anayelingana kwa umri na mtoto wake ni kama atajisikia kama ni mtoto wake, ila kama ana hulka ya kikahaba sitashangaa kwa yanayokupata, mpe msimamo, wewe ni mwanaume kwamba unaheshima kubwa kwake kama mama yako na kwamba analingana kiumri na mama yako hivyo huwezi kumpa nafasi hiyo. Atakuelewa na pengine hata kukuomba radhi kama zimetulia vizuri kichwani mwake. Kama ana njaa ya mlo mara moja moja ukinunua kijoroba cha mchele na unga ukwamwachia utakuwa umefanya vyema.
 
Hama hama hama hama hama hama hama hama hama haraaaaaka sana.

Kuhama si suluhisho na atakuwa hajamsaidia huyo mama kumwelimisha kimwenendo. Kumbuka pia ameshalipia pango la miezi kadhaa vinginevyo apate mwingine watakaye badilishana labda awe mwanamke mwenzake ambaye hawezi kumvalia kanga tupu kujitosha ndani.
 
Mkuu, naomba ujibu maswali haya leo, yatakusaidia kujitambua.

1. Kwa nini alikuzoea kiasi hicho mwezi huu?

2. Ulichukua hatua gani kuzuia mwendelezo wa tabia hiyo ya kukuzoea?

3. Je, Ana mazoea ya kukuletea chakula?

4. Ana mazoea ya kukwambia nini ufanye chumbani kwako?

5. Aliwezaje kuingia chumbani kwako bila ruksa yako? Hukufunga mlango ulipoingia chumbani?

6. Huwa hufungi mlango wa chumbani endapo sebuleni kuna mtu unayehisi anaweza kukubaka?

7. Kwa nini uliamua kurudi ili ushikweshikwe masikioni? Ulikuwa unafanya nini wakati huo wote?

8. Kwa nini ulimpa majibu ya kuonyesha unamtaka kama kweli tofauti ya umri ni kikwazo kwako?

9. Kwa nini uliamua kumpa moyo badala ya kukataa?

10. Utawezaje kusema NO leo wakati ulishakubali jana yake?

Maelezo yako yananishawishi kuamini kuwa wewe unamtaka ndo maana mazingira hayo uliyaruhusu yawepo na unayafurahia.

Badala ya kuhofia watoto wake watakufikiriaje, hofia Mungu atakuonaje?

Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
Kim nana hebu pitia hii akijibu leo imekuaje uniamshe
 
Last edited by a moderator:
View attachment 194684
Mwanamke aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi wa Kikambodia ambaye tokana na hali ngumu ya maisha aliamua kujihusisha na ukahaba akiwa katika siku zake za mwisho wa uhai huku watoto wake wakiwa na huzuni wakimwona mama yao aliye tegemeo la maisha nakata roho.

View attachment 194685
Mgonjwa wa ukimwi afya yake ikionyesha kudhoofika kusiko kawaida na hivyo kusubiria siku siku uhai wake utakapotoweka, unakufa huku unajiona ukihesabu siku zilizosalia.

View attachment 194686
Mgonjwa wa ukimwi aliyejitambua na kuamua kujitangaza kuhamasisha watu waepukane na njia zinazoeneza ugonjwa huo.

Niseme mwanamke ni mjuzi wa kumsoma mwanaume na akionyesha dalili za kuwa ni laini kama kiini cha yai basi mwanamke huanza manjonjo ya mitego. Vinginevyo mwanaume akisomeka hana mpango wala kuonyesha dalili ya kuwa tete mwanamke kawaida hunywea. Kijana ukweli umeonyesha dalili za kumhusudu au kufurahia akifanyacho sasa kazi kwako amekuweka kikaangoni tayari kupakuliwa, kile kilichomwua mume wake usipokiogopa utashtukia unahesabu tu siku za kuishi duniani wakati ungali kijana mbichi.

Mwanamke kuonyesha dalili za kuvutiwa na mwanaume ni jambo la kawaida na kibinadamu, lakini mwanamke mwenye akili nzuri asiye na jambo la kipekee akiona mwanaume haonyeshi dalili huishia kutuliza mzuka. Lakini ukiona anakazania kwa kiwango kama ulichosema uwe na mengi ya kujiuliza na zaidi historia ya kifo cha mume wake jaribu kufanyia utafiti usije kuwa victim.

Wewe ni daktari wa ushauri nasaha na kupima. Upo juu sana. Nimeipenda komenti yako
 
Hahahaha...comrade umenichekesha vibaya!! Mtu anashabikia jamaa ale papuchi kumbe anashauri mamake apigwe pipe..! Kweli ukifikiri unaona mantiki ya hoja yako.

Kwa walio na single mothers in their 50's wasishauri hapa..lol

Kweli mkuu, hii dunia ukitaka uwe fair ni kulitazama jambo ktk mzamo wako wewe kama upande husika ktk ushauri wowote unaofanya
 
niunganishie mimi huyo mama nimpe mambo, au kama kuna chumba hakina mpangaji nistue nije nimfaidi usiku na mchana najilia bure
 
Weeeeee nani kakwambia ww binti ni mgeni wa mapenzi, kwa taarifa yako akimpa "kamoja tu" basi kodi kwisha na yeye ndiye atakuwa anadai kodi kwa wapangaji wenzake. Cheza na baba mwenye Nyumba nini

mmmhhhh mnapenda vya bure kumbe hahahaaaa
 
Back
Top Bottom