kula vitu generali ahaaa anataka kukufanyia mambo makubwa ambayo hujawai fanyiwa
Tafuta dalali fastaaaa ...
Siyo pa kukaa tena hapo ..,kodi yako uliyotoa fanya kama umeisahau hivi ..!!
Dah pole sana mwambie we huwezi kwa sababu ambazo atakuelewa. Asipoelewa mwambie utahama na umaanishe.
Wee kula huyo, acha kusuasua hapa!
Mtoa mada sikiliza,kuwa mkali
Tafuta best wako wa kike rudi nae homeee...ila jiandae kwa notice heheheee....
Hiv kwa nini hizo bahati hazitukuti sisi
Leo akija kuanza kukulazimisha huo upuuzi wake we piga kelele kuwa anakubaka umjazie watuataona aibu yeye mwnyw, hakuna kuhama mkuu we komaa nae tu hadi atakata tamaa mbaf zake huyo
Uzembe wako
Huna rules? Unaruhusije mtu chumbani kwako????
Ha ha haaa,
Wenzio hao wa umri wako ndo wanatutolea mimacho huku bongo.
................. sijasema mimi lakini...........[/QUOTE Mamndenyi wewe huna nyumba ya kupangisha
nikutafutie serengeti boy hao wa barabarani waache kukutolea mimacho?