Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
naomba hicho chumba nije kupanga mie niko mwanza nyegezi,kama vipi tubadilishane nimpe haki yake
 
Kijana mshughulikie ikiwezekana mfumue marinda kwa 0719 maana si ndo anavyotaka ila chukua tahadhari UKIMWI upo

NB: KUZINI DHAMBI.. JST DO IT.. IN YOUR OWN RISK
 
ahadi ni deni,leo wish utakuwa poa katimize ahadi yako.
 
Duh! Japo hatuvai magwanda lakini kila mwanadamu ana vita yake chin ya jua. Jitahidi kupambana uvishinde vita vyako...
 
hahahaaaaaa hakuna kitu kama hicho kodi kama kawa
Weeeeee nani kakwambia ww binti ni mgeni wa mapenzi, kwa taarifa yako akimpa "kamoja tu" basi kodi kwisha na yeye ndiye atakuwa anadai kodi kwa wapangaji wenzake. Cheza na baba mwenye Nyumba nini
 
Huenda mumewe alikufa kwa ngoma. Huyo anataka kukuambukiza VVU mkimbie kabisa. Na ni kwa nini ulimpa uhuru wa kuingia room kwako? Sipati picha from no where mtu mnayeheshimiana anapata ujasiri wa kuingia chumbani kwako. Lazima ulishazoea kumkaribisha karibisha na yy akajua unamtaka. Kwa uzoefu wangu mwanamke mwenye kwake akikutaka atataka wewe ndio uingie chumbani kwake na si yeye aje kwako. Atakudanganya kwa vitu vingi oooh leo sijisikii vizuri naomba niletee maji ya kunywa chumbani, mara oooh nina hamu ya soda sijisikii vizuri naomba ukanininunulie uniletee chumbani nimejipumzisha, mara nyingene anaweza kukuomba umsaidie kuhamisha kitu toka chumbani kwake. Wakati wote huo atakuwa anakutega na hizo kanga. Na mara nyingine anaweza hata kuidondosha makusudi ili akupime utafanyaje.
 
Back
Top Bottom