Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

ukiwa nae vuta picha ya mama yako mzazi so kila utachofanya nae.assume ndio mama yako mzaz unamfanyia ivo
 
hahaha mpe uyo mama number yangu au kama kuna wamama wengine wenye hizo mishe wapatie tu number yangu 0656879668
 
unatakiwa kuzungumza kwa uthabiti kwamba huhitaji kufanya jambo hilo naye. Na uoneshe seriousness usoni!
Usijali atasema nini.
Kumbuka: ni bora kumtii Mungu kuliko binadamu. Uzinzi ni dhambi nzito brother

Dhambi zote ni sawa ukisema uongo huna tofauti na mzinzi.
 
mpe anachokitaka ukimbania itakuwa sio poa
 
Ujinga mtupu. Huyo mama kajileta, halafu wewe unamuacha. Watu wanatafuta bahati kama hizo, hawazipati, halafu wewe unatujazia server yetu tukufu ya JF na habari kama hizi!! Hopeless man.
 
Kwani tatizo liko wapi hapo? Mwambie mama siwezi kufanya hivyo na wewe sababu wewe ni mtu nnaekuheshimu na wewe ni sawa na
Mzazi wangu full stop... Kukufukuza nyumba hakuusiani kabisa..... Na ukifanya utakua mtumwa wa ngono kwake maisha yote utakayo ishi hapo kwake, jengine siku nyengine wacha utani na wenye nyumba ili wasikuzowe fanya mazungumzo
Nao ikiwa pana ulazima...
 
Uanaume kazi kweli kweli! Ulishindwa nini kumuwekea sura ya jeshi huyo mama na kumueleza huku ukimtazama usoni kwa ukali, kwamba humtaki na wala asithubutu kuendele kukuletea Machunusi yake.
Au alipokuwa akikufanyia/kueleza hayo wewe ulikuwa unakata kucha kwa meno huku ukitazama chini? Kijana badirika, kama hutaki kitu onyesha wazi hutaki.
 
Kwani tatizo liko wapi hapo? Mwambie mama siwezi kufanya hivyo na wewe sababu wewe ni mtu nnaekuheshimu.

kumbe kungonoka ni ruksa kwa wasiyo heshimiana? Ndiyo maana ndoa/mahusiano hayadumu, sababu wahusika wakingonoka tu, hawaheshimiani tena.
 
Mosi - Hama kuepuka usumbufu kama kuna uwezekano samehe pango

Pili - Usithubutu kumuingilia
 
Sasa fanya hivi:Ondoa neno "jenerali" weka "mzalendo/kuruta"!Alijua mkubwa mwenzie,kimbia mkuu!
 
Asikushughulishe kizee huyo achana nae mwambie atafute mwenzie mumewe kafa nanini?
 
Back
Top Bottom