Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Candid Scope
Mwanamke kuonyesha dalili za kuvutiwa na mwanaume ni jambo la kawaida na kibinadamu, lakini mwanamke mwenye akili nzuri asiye na jambo la kipekee akiona mwanaume haonyeshi dalili huishia kutuliza mzuka. Lakini ukiona anakazania kwa kiwango kama ulichosema uwe na mengi ya kujiuliza na zaidi historia ya kifo cha mume wake jaribu kufanyia utafiti usije kuwa victim.

Je, utakataa kuwa hapo unafanya unyanyapaa watu?
 
Last edited by a moderator:
Asanteni nyote kwa ushauri wenu, juzi nililala kwa rafiki yangu baada ya kuwa tumezunguka sana kutafuta nyumba, nilipata nyumba juzi hiyo hiyo na jana nilihama ghafla, hakujua kuwa nitahama, ila aliona gari tu ikija na kupakia mizigo, Thanks all for your advice and be blessed!
 
We mpige mambo, ukimaliza mwambie iwe mwisho. Kumbuka kutumia ndom kwan ngoma ipo
 
hiyo ni gia ya kumvunja nguvu akuache.

ila pia waweza mfanya uwanja wa mazoezi, unajua jungu kuu halikosi ukoko...

mkuu huwezi kuachwa kwa kuomba hiyo kitu, unawea pewa itakuaje? suluhisho la kukimbia aliloanya ndo sahihi kabisa.
 
mwanagu ukigusa tu, utakuwa umepoteza haki zako zote kama mpangaji.......na utapoteza hata asset zako zote ulizo nazo geto.achana na mama huyo tafuta saizi yako. tena ili kumkatisha tamaa kwa muda huu tafuta msichana yeyote hata kama huna mpango naye uende naye tu geto mama akuone naye ana mwisho wa siku ataacha kukutamani.......otherwise amua mwenyewe kama utakula bana maana sijui kilichoko moyoni mwako
 
usisingizie umri, nyie wote kisheria ni watu wazima,ingawa mmepishana umri, sema tu labda haumpendi huyo da mkubwa. angekutokea msichana wa miaka 17 ungejidai na kutangaza dunia nzima.
 
Mmmmh, huyu mama nae. Wababa wenzake hawaoni?, mkuu mwambie ukweli tu huku ukimuangalia usoni. Ukiendelea kumkaribisha ndani na kanga yake moja utashangaaa siku upo kifuani unatafuta bao la pili.
 
Daaaaah!!! mkuu kesho utupe up dates ya kilichoendelea leo....

Interesting story
 
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tufanye mapenzi nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo.

Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama simtaki coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namla mama yao na tunaheshimiana sana.

Wazo la kuhama limenijia usiku wa leo sana.

Nifanyeje?

We hebu acha utoto mpakue haraka Sana,tena hakikisha analamba koni na mwishowe mle tigo
 
Mwambie hapana.... ataanza kuleta visa... We fanya taratibu za kuhama
 
Back
Top Bottom