Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mi naona ule mzigo aidha utumie kondom au mlazimishe afabye vipimo vya magonjwa ya zinaa iwe kama sharti

mtafute daktari ampime.. Then kula mzigo kijana

inaonesha ana nyege sana

NB. UKIONJA NAKUHAKIKISHIA UTACHONGA MZINGA.. MAANA HAO WAMAMA NI WAZOEFU....

DAH ILA ABOVE 50 AMEZIDI MMMWEEEEEEEE
 
Mmmh...ni wanaume wachache wanaweza kuikimbia zinaa, hasa kama hiyo inayojileta yenyewe. Jitahidi uikimbie hiyo dhambi...lakini ukishindwa hakikisha unatumia CONDOM.. Huwezi jua mumewe kafa kwa kitu gani...!
 
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
Mkuu jenerali Ambamba km ana watoto wa kike mwambie una uhusiano na mmoja wa binti zake,na kwa vile anakutaka mwambie unajipanga kumuuliza mpnz wako ambae ni bintiye kuhusu jambo hilo. Km atakubali basi mwambie utakuwa tayari kumfumua marinda!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu, mwenye matatizo hapo ni wewe. Hebu mwambie NO, ukimaanisha NO, na akikutazama machoni, aone NO usoni mwako uone kama atarudia ujinga wake. Achana na biashara ya staki nataka.
 
Kwani muonekano wake ukoje mkuu? Asije kuwa anachunisi kama fenesi na sura kama anapuliza moto...kuna wamama vigoli wanazeeka na utamu wao...!
 
ndugu yangu yameshanitokea mimi kama hayo ila mm alikua mke wa mtu na mimi nilishindwa kujizuia nilifanya, matokeo yake niliugua roho wiki nzima,nakushauri tu ndugu kwepa utelezi kabla hauja anguka ukianguka kinachofuta ni majuto daima.
 
Na wewe si umlete demu wako usiku huu akimuona atashika adabu
 
nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka dar. Nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe tv nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! Kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha itv-kipima joto, akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! Sipo tyr akauliza kwa nini? Nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? Nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

Wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

Nifanyeje?

muone daktari haraka una matatizo .
 
ndugu yangu yameshanitokea mimi kama hayo ila mm alikua mke wa mtu na mimi nilishindwa kujizuia nilifanya, matokeo yake niliugua roho wiki nzima,nakushauri tu ndugu kwepa utelezi kabla hauja anguka ukianguka kinachofuta ni majuto daima.

Mkuu kuwa mkweli umeugua roho au ndo ushakwenda na maji?
 
hao wataalamu wa madawa hao, ujue wameishi miaka mingi kuliko wewe, wanajua dunia kuliko wewe, atakuwekea dawa kwenye icho chakula hadi utamuoa. halafu, huyo mumewe kafa kwa ugonjwa gani? isije kuwa ngoma? atakuweka kiganjani na atakuwekea dawa utakuwa zuzu na sanamu lake la xxx, amini usiamini hadi mama yako mzazi utamtukana akikuambia umwache uyo maza.
 
Hama hiyo nyumba na hakikisha hajui unapohamia.pia nina wasiwasi huenda wewe ulimuwekea mazingira ndo mana amefikia hatua hiyo. Ulivyo ndivyo watu hukuchukulia hivyo hivyo, jitazame upya mana yawezekana hata kuhama isiwe dawa, ukahamia kwengine ukakupamba na majanga wake za watu au mama mwenye nyumba mwengine
 
Hma haraka kabla hujaharibikiwa kijana, wengine ni watu kwas sura tu lakini kwa ndani ni majini na shetani wakubwa
 
ndugu yangu yameshanitokea mimi kama hayo ila mm alikua mke wa mtu na mimi nilishindwa kujizuia nilifanya, matokeo yake niliugua roho wiki nzima,nakushauri tu ndugu kwepa utelezi kabla hauja anguka ukianguka kinachofuta ni majuto daima.
Uliugua roho? How?
Na kwa nini ujute daima?
Ukishatubu kwa Mungu wako unasahau na kuendelea na maisha..!!
 
Back
Top Bottom