Mama Mwambenja wa Exim is OUT

Mkuu katika benki TZ ambazo hata kama una masters unatumwa ukapikie wahindi chai ni EXM
yah man.....mama mwambenja ndio alikuwa source....mkuu yule mama ana dharau sana kwa ngozi nyeusi.....
kuna HR pale mwanaume chapombe ni mlevi wa kupindukia na mwomba rushwa zote ya ukimwi na hela
kapigwa chini kama sijakosea.....sina hakika..
...nasomea u HR mkuu....vishori vikali mnoo siku hizi
 
yah man.....mama mwambenja ndio alikuwa source....mkuu yule mama ana dharau sana kwa ngozi nyeusi.....

kapigwa chini kama sijakosea.....sina hakika..
...nasomea u HR mkuu....vishori vikali mnoo siku hizi

Uliomba kazi ya UHR nini ukapigwa chini maana una hasira na Mwambenja mkuu duh!
 
Mkuu katika benki TZ ambazo hata kama una masters unatumwa ukapikie wahindi chai ni EXM na kutoa rushwa ili upate kazi kuna HR pale mwanaume chapombe ni mlevi wa kupindukia na mwomba rushwa zote ya ukimwi na hela

Yule jamaa ametolewa pale HR alikuwa akidai 700,000-1,000,000 kwa kazi moja kwa kila mtu. Management ilikuwa haijui ilipokuja kujua wakamtimua. Tanzania tuna safari ndefu sana.
 
yule mama ni mzee, ana miaka 60 sasa. Pia kaitumikia exim kwa kipindi kirefu na kuonesha mafanikio makubwa sana. Kwake, hiki ni kipindi cha kupumzika. Anaenda kucheza na wajukuu sasa.

Wewe yo yo unaelekea ni mtu mwenye tabia ya kuwasema watu vibaya bila hata kuwa na ushahidi wa kutosha, kama una chuki binafsi naye hiyo siyo sababu ya kutufanya hata sisi pia tuwe na chuki naye. Ni tabia za kike, kwa wanaume wa kweli akikorofishana na mtu wala hasemi kokote zaidi ya kuongea na yule aliye korofishana naye. Hivyo kama una ugomvi naye ni shauri yako.

Tafadhari, nakuomba usiendelee kujibizana na watu humu, kwa maana ndiyo utakavyoendelea kuweka udhaifu wako peupe. Bora unyamaze.

aliwashwa kwenye interview nini anamalizia mwaka na mama
 
Duh noma tupu!! Mama ni mnoko (mmoja wa wanae ni rafiki yangu) lakini ni mchapa kazi kweli kweli kaitaransform exim bank mpaka kuwa bank ya kueleweka. Uchapakazi wake ulipelekea akapata award ya uceo bora miezi miwili iliyopita nchini canada.
 
Mama huyu ni Iron Lady hana mchezo kwa mtu asiye na tija kazini. Kama unazalisha chini ya kiwango anaweza kukufukuza kazi bila kukuangalia usoni hata kama alikuajili mwenyewe. Ni rahisi kuchukiwa kwa sababu anasimamia kile anachokiamini na ndio sababu kafika mbali au kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa CEO wa benki.

Yoyo, ameonyesha kasoro upande wa mikopo tu ndio maana ameonekana ana chuki binafsi, lakini pia atambue kwamba hapa JF wengi wanamfahamu huyu mama na wengine walifanyakazi naye tangu NBC. Ni mama mchapakazi, Kama ana mapungufu ya kibinadamu tuambie zaidi ili tuweze kupima mabaya na mazuri yake, kuonyesha kwamba hafai kwa kigezo hicho tu au kuwa mkali kazini haitoshi.

Kuwa mkali na makini kazini ni moja ya sifa ya uongozi, endapo ukali huo ni wa kuleta tija. kama ukali wake ulipunguza tija Exim Bank weka bayana hapa ni jambo lipi alikuwa mkali na kisha akaharibu mambo.
 
Simtetei Mwambeja lakini ni ukweli usiopingika kwamba kama wewe ni mbabaishaji kazini ni bahati yako mbaya sana kuwa chini ya uongozi wake huyu mama. kama ulizoea kuwachekea wanawake ili wakutupie jicho la huruma kazini huyu mama ni mwisho, jicho lake ni kazi bila kulala.

Kama wewe ni handsome na unafikiri ndicho kigezo cha kubaki kazini haangalii uzuri wako. Kuna wakati naamini kwamba, mume wa huyu mama lazima awe na weredi wa juu vinginevyo hatasika kumfukuza kazi ya kuwa mume wake.

kama unataka kuwa salama kufanya kazi chini ya huyu mama ni lazima uwe kichwa kweli kweli, na kumshawishi kwa kuleta tija kazini.
 
Mama huyu ni Iron Lady hana mchezo kwa mtu asiye na tija kazini. Kama unazalisha chini ya kiwango anaweza kukufukuza kazi bila kukuangalia usoni hata kama alikuajili mwenyewe. Ni rahisi kuchukiwa kwa sababu anasimamia kile anachokiamini na ndio sababu kafika mbali au kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa CEO wa benki.

Yoyo, ameonyesha kasoro upande wa mikopo tu ndio maana ameonekana ana chuki binafsi, lakini pia atambue kwamba hapa JF wengi wanamfahamu huyu mama na wengine walifanyakazi naye tangu NBC. Ni mama mchapakazi, Kama ana mapungufu ya kibinadamu tuambie zaidi ili tuweze kupima mabaya na mazuri yake, kuonyesha kwamba hafai kwa kigezo hicho tu au kuwa mkali kazini haitoshi.

Kuwa mkali na makini kazini ni moja ya sifa ya uongozi, endapo ukali huo ni wa kuleta tija. kama ukali wake ulipunguza tija Exim Bank weka bayana hapa ni jambo lipi alikuwa mkali na kisha akaharibu mambo.

Umenena mbu sugu pale NBC kulikuwa kuna wamama watatu wa shoka wakiheshimika kwa ufanisi wao wa kazi. Kuna Mrs mwambenja, kuna mama moja yuko pale Citibank naye ni Iron Lady nishamsahau jina, na pia kuna mwengine yupo CRDB. Kwakweli kama kuna wamama nawaheshimu kwa utendaji kazi wao ni hawa kwani wamebobea katika sekta ya benki. Huna vya kunidanganya kwa ufanisi wao but sikatai wanamapungufu yao pia kama wanaaadamu.
 
Wewe hata MAMA ANNA MKAPA Sophia Simba iron lady kwako....
 
Aliekuwa CEO bandidu wa bank ya Exim Mama Mwambenja Sabetha kapigwa chini effective tangu jana......japo wafanyakazi wameambiwa kuwa mama kaamua kustaafu lakini news za ndani inasemekana kapigwa chini na wenye benki....sasa hivi ni sherehe kubwa exim benki kwa ubandidu aliokuwa nao mama kwa wafanyakazi wake....

mambo yetu wana JF haya..

hivi hii thread nayo inafaa kuwa katika jukwaa la siasa...au kwa vile kule kunakostahiki si wengi wanasoma basi imewekwa huku ili tuisome..haya mkuu tumesoma na kuchangia pia ndiyo kama hivi...

ni mtazamo tuu..no offence!!!!!!!!!:embarrassed:
 
Wewe hata MAMA ANNA MKAPA Sophia Simba iron lady kwako....

mkuu hawa wamama walikuwa wanaogopeka kazini kwa ufanisi wao wa kazi na sio kwa ukali wala maneno please usiwafananishe na kina Anna Mkapa na Sophia Simba utawavunjia heshima. Hawa wanaijua benki nje ndani ndani nje huwadanganyiki bure bure inataka uwe makini nao waulize watu wa Citibank wanamjua huyo mama sijui nae kama hajastaafu na huyo wa CRDB wako siku nyingi humo ndani na wako fiti kichwani. Tafadhali waheshimu taaluma zao mkuu wamebobea.
 
Acid
Kuna wengine sio mafisadi kwamfano Pinda na Magufuli......

Heeh!! Hivi kumbe ni kweli wadanganyika tunasahau mapema hivi. Huyu Bw. Pombe si ndiye aligawa nyumba za serikali kwa vimada na marafiki zake kifisadi? Na alikuwa akitetea uuzaji wa nyumba za kiserikali kifisadi bila hata aibu huyu jamaa.

Tofauti na Pinda huyu jamaa ni mchapakazi na anajua kufanya promo yake kwenye media.
 
Aliekuwa CEO bandidu wa bank ya Exim Mama Mwambenja Sabetha kapigwa chini effective tangu jana......japo wafanyakazi wameambiwa kuwa mama kaamua kustaafu lakini news za ndani inasemekana kapigwa chini na wenye benki....sasa hivi ni sherehe kubwa exim benki kwa ubandidu aliokuwa nao mama kwa wafanyakazi wake....

Mkubwa Welcome back,ulipotea sana
 
Hebu fafanua mkuu MBA kitu gani mie najua ni Masters of Business Administration
sasa wewe ulikuwa unamaanisha nini?

yah man ndio hiyo hiyo.....

Duuuhh........YoYo karibu tena mazee...............yaani umenifanya nicheke asubuhi hii mpaka mbavu zinauma.............umerudi na lugha yako imekuwa ngumu kwa watu kuelewa...........lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom