NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Yule jamaa ametolewa pale HR alikuwa akidai 700,000-1,000,000 kwa kazi moja kwa kila mtu. Management ilikuwa haijui ilipokuja kujua wakamtimua. Tanzania tuna safari ndefu sana.
Wamemtoa lini yule mla rushwa...mbona like 3 wks ago alikuwepo? jina lake la kwanza si M mimi nilimtolea nje mpumbafu kabisa. Na internally kama humpi hela ana kuhamishia mkoani.