Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali ... Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
Kwa nini asiendelee na ukulima wake??Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.
Naamini ni kiongozi .zuri tu hapo mbele pamoja na ukulima wake.
Anasimamiwa na kiapo"fitna kwangu mwiko nitasema kweli daima" kwa hiyo hakuna alipokosea. Ukiona Hapi aliinuka akasema basi jua kuna watu walikuwa wanasemea chini kwa chini.Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.
Naamini ni kiongozi .zuri tu hapo mbele pamoja na ukulima wake.
Majangili yote lazima yatarudishwa maana maza hajui hata anafanya niniHuyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali ... Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
VigezoKwanini usiombe wewe akuchague
Ova
Ndo yeye mkuuKwanini usiombe wewe akuchague
Ova
🤣🤣🤣 kumbe Jumbe Brown kajibadilisha jina tayari@Mkunazi Njiwa (Jumbe Brown
Of course yes ila Sasa hapo atamrejesha kwenye nafasi gani kwenye chama?Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.