Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Kabla ya kuandika waraka huu taja mradi mmoja tu umewahi kuendeshwa kwa faida na sisi wazawa? tumefilisi kila kitu na tunajenga vi stand vya bus Billion 5 havina thamani hata ya Million 100 moja. Tutajie shirika moja tumeweza kulikuza zaidi ya kuuwa. Mwendokasi tulikuwa sisi tumefanya nini? Ma bus hakuna na yaliyopo hayatoshi likiharibika ndio basi tena. SGR pale watu wanapiga pesa kwenye tickets hatari hawana hata uchungu wanajali matumbo yao tu. Yaani ni wizi mtupu wewe ukitaka kufilisika mradi wako mpe Mtanzania tu. Nimeona miradi ya barabara imefanywa na kampuni za wazawa ni aibu mashimo tupu mpaka miradi inarudiwa. Badala ya kulaumu tujiangalie sisi tumefanya nini?
Hawawezi kukuelewa wanachojua wao ni lawama tu.

SGR ikiendelea kuendeshwa na waajiriwa wazawa chini ya serikali inaenda kufa kifo cha mende.

Watanzania hatuajiriki. Tunaiba, tunahujumu, tunafilisi, tunachakaza, hatujali zaidi ya kujijali. Tu wavivu kuzidi kiumbe chochote kivivu Duniani. Ni waongo, wanafiki, mafisadi, ovyo kwelikweli.

Kazi kubwabwaja midomo pyeeeee!!!pyeeeee!!!!! Utadhani watu, hamna lolote zaidi ya kupiga domo.
 
Ha ha ha ha hakika mkuu wangu....

Unafaa sana kwenye kampeni za majukwaani kuwapiga madogo wakosoaji wasio na uelewa wa kudadavua........

Kudos !!
 
Acha ujinga na upotoshaji wa hovyo.hiyo Dart lazima muwekezaji aje ili kuboresha uendeshaji.kwa sababu ili sector ikuwe kunahitajika sector binafsi
Sakeler huyooo ...

Kajaa ujinga na upotoshaji kila THREAD anayoibandika humu ndani......
 
Kwenye mashirika yote ya umma ceo wanapewa kwa kujuana na sio kwa kuangalia uwezo

Umempa mtu nafasi kwa kujuana hata akifanya vibaya huwezi mfanya chochote kwa hiyo sio kweli watanzania hawana uwezo hapana wenye uwezo hawana connection
Sasa tibu huo ugonjwa wa kupeana kwanza halafu tuonyeshe kwa vitendo uwezo wetu. SGR ile tukiendelea na wazawa tunaiuwa tu kama tulivyouwa Railway ya kwanza.
 
Ndoo ivo mkuu nawew pia hapo ulipo jarbu kufuatilia uone. Yaani hawa wazawa hawatekelezag miradi kwa uhuru labda suma JKT.
Na hawa wenye kampuni za wazawa kama wanakumbana na haya mambo ni lazima wa balance wahakikishe kutokubali kuharibu sifa ya kampuni yake aongeze na pesa ya kugawa lakini quality ya kazi muhimu kwa maisha ya kampuni yake vinginevyo ataambulia deal moja tu na kupotea. Mradi mbovu utamuwinda maisha yote ya kazi zake.
 
Naona kama anakomesha Watanganyika. Kwa kuhakisha hawatakuwa na maendeleo kwa miaka 100 ijayo na kubaki vijakazi na watumwa kwenye nchi yao. Wasiomiliki kitu chochote cha maana.
Kuna siku hiyo mikataba itavunjwa na Mtanganyika, itakuwa tafrani hasa kama Makinikia.
 
Kwenye mashirika yote ya umma ceo wanapewa kwa kujuana na sio kwa kuangalia uwezo

Umempa mtu nafasi kwa kujuana hata akifanya vibaya huwezi mfanya chochote kwa hiyo sio kweli watanzania hawana uwezo hapana wenye uwezo hawana connection
Sahihi
 
Kama ni hii mwendokasi ya kimara acha tu wapewe
 
Naona kama anakomesha Watanganyika. Kwa kuhakisha hawatakuwa na maendeleo kwa miaka 100 ijayo na kubaki vijakazi na watumwa kwenye nchi yao. Wasiomiliki kitu chochote cha maana.
Ataokea Raisi mwingine atavunja mikataba Yao aliyoingia na Waarabu ikiwemo na Lugha yao ya Kiarabu
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Kuna watu wanaamini mweusi ni lazima awe chini , mtu wa kazi ngumu "mzigo mzito mpe mnyamwezi" kazi nyepesi mwarabu, muhindi,Mungu NK
 
Sasa tibu huo ugonjwa wa kupeana kwanza halafu tuonyeshe kwa vitendo uwezo wetu. SGR ile tukiendelea na wazawa tunaiuwa tu kama tulivyouwa Railway ya kwanza.
Tatizo katiba ina mpa mamlaka Kiongozi kuteua Mkurugenzi na Bodi, ambao hawawezi na hawana Nia ya kutenda kazi njema Bali kujitajirisha, chini ya uongozi wa sirikali iliyo wateua. Na misingi hiyo hiyo hufuatwa kwenye ubinafisishaji
 
Ndio maana ubia ndio solution madaraka hayo hayatakuwepo, pale NMB kuna ubia lakini serikali haiteui Director na sector binafsi wanateuwa na huo ni mfano mmoja tu.
 
Back
Top Bottom