Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Mkuu
Kabla ya kuandika waraka huu taja mradi mmoja tu umewahi kuendeshwa kwa faida na sisi wazawa? tumefilisi kila kitu na tunajenga vi stand vya bus Billion 5 havina thamani hata ya Million 100 moja. Tutajie shirika moja tumeweza kulikuza zaidi ya kuuwa. Mwendokasi tulikuwa sisi tumefanya nini? Ma bus hakuna na yaliyopo hayatoshi likiharibika ndio basi tena. SGR pale watu wanapiga pesa kwenye tickets hatari hawana hata uchungu wanajali matumbo yao tu. Yaani ni wizi mtupu wewe ukitaka kufilisika mradi wako mpe Mtanzania tu. Nimeona miradi ya barabara imefanywa na kampuni za wazawa ni aibu mashimo tupu mpaka miradi inarudiwa. Badala ya kulaumu tujiangalie sisi tumefanya nini?
Mkuu uko sahihi kabsaa. Mimi. Katika katiza katiza moja ya jambo gumu ninalo liona kwenye makampuni ya wazawa pale wanapopewa tenda na serikali nkwamba wanahujumiwa.

Yaani unaweza kuwa unapiga mradi wa 5B eneo x asee hapo utaombwa ulipe fadhila kwa watu wenye chama chao mpaka ukome.
Na ukijaribu kuvunga ujue imekula kwako.
Hawa wazawa hawana ubavu wa kuihujumu serikali, kuba mapicha picha ya haohao waliowapatia hizo kandarasi mkuu.
 
Nchi yetu haina laana ila raia wake nikama Lyzosomes zenye tatizo la kupasuka mahali pasipotakiwa.

Hizi tabia za ubabaishaji na kukosa uzalendo na mambo ya kitaifa hayapo kwa viongoz tuu yapo kwa watz wengi saana.
Tabia mbaya za viongoz zina aksi uhalisia wa tabia za kitanzania.

Ndo maana tunawashabikia na kuwatukuza hata wanapo yafanya hayo.
Kama tukiendelea hivi tujiandae kukabiliana na matokeo.
Mpaka saiv tunayaona matokeo ya tabia za serikali ya awamu ya tano kama vile
-UCHAWA(KUSIFU KUPITILIZA)
- CHUKI ZA KISIASA
-UBABE(uchaguzi wa 2020 = uchaguz wa serikali za mitaa 2024)
-UNYUMBANI NYUMBANI KWENYE MAMBO YA KITAIFA.
Ila ngoja tuendelee kuishi tuangalie next epsodes.
 
Mkuu
Mkuu uko sahihi kabsaa. Mimi. Katika katiza katiza moja ya jambo gumu ninalo liona kwenye makampuni ya wazawa pale wanapopewa tenda na serikali nkwamba wanahujumiwa.

Yaani unaweza kuwa unapiga mradi wa 5B eneo x asee hapo utaombwa ulipe fadhila kwa watu wenye chama chao mpaka ukome.
Na ukijaribu kuvunga ujue imekula kwako.
Hawa wazawa hawana ubavu wa kuihujumu serikali, kuba mapicha picha ya haohao waliowapatia hizo kandarasi mkuu.
Maneno yako yamenifungua hili linawezekana japo sina ushahidi nalo lakini naamini moja ya tatizo. Wageni kutoa wagumu na kama kutoa basi kwa watu fulani tu. Shida nadhani kama tender umepewa tu na hao watu kwamba mradi B5 lakini cha kwetu B2 hizo tatu pigania mradi na faida yako ndio labda tunaishia miradi haina viwango. Ndio maana hawa wa nje waje tu maana wanakuja kutengeneza faida hawawezi kugawa pesa kama njugu. Nchi ngumu sana hii ni mpaka siku tuwe na sheria kali kama za South Korea na tufanye kwa vitendo ndio heshima itakuwepo.

Mfanyakazi wa serikali mishahara yetu inajulikana lakini leo anamiliki jumba, gari la maana hatujiulizi tu ndio unalipwa vizuri lakini haya umepataje? hatuna uwezo wa kuwauliza wewe mwenyewe huku juu unafanya wanayofanya chini huku wizi na mali hazina maelezo umezipataje.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Unaweza kujitokeza kuthibitisha haya? Kama huwezi kujitokeza kwa ujasiri kuthibitisha, Unakuwa huna tofauti na Mwanamke mmbea na muongo / mzushi wa buguruni au tandika.
 
Tanzania nchi ngumu sana kuielezea na hili linaanzia kwenye serikali kutoa ruhusa kwa njia isiyokuwa ya moja kwa moja lakini akili ya kawaida tu, Wewe unamlipa mfanyakazi wako Milion 1 wakati unajuwa fika hiyo pesa hawezi kuifanyia kitu cha maana kwa maana haimtoshi matumizi ya kawaida tu kwa mwezi, ukianza kuivunja hiyo pesa, kodi, watoto shule( tuseme ya bure) ila lazima utawapa kidogo, umeme, maji sijui vocha hapo nauli pesa haitoshi lakini umamlipa ukitegemea awe mwaminifu. Huyu lazima atatafuta njia ya kupiga pesa unakaribisha rushwa lakini wewe umefunga macho sababu hutaki aje kudai pesa unamwacha kikubwa usishikwe lakini najuwa unaiba.
 
Maneno yako yamenifungua hili linawezekana japo sina ushahidi nalo lakini naamini moja ya tatizo. Wageni kutoa wagumu na kama kutoa basi kwa watu fulani tu. Shida nadhani kama tender umepewa tu na hao watu kwamba mradi B5 lakini cha kwetu B2 hizo tatu pigania mradi na faida yako ndio labda tunaishia miradi haina viwango. Ndio maana hawa wa nje waje tu maana wanakuja kutengeneza faida hawawezi kugawa pesa kama njugu. Nchi ngumu sana hii ni mpaka siku tuwe na sheria kali kama za South Korea na tufanye kwa vitendo ndio heshima itakuwepo.

Mfanyakazi wa serikali mishahara yetu inajulikana lakini leo anamiliki jumba, gari la maana hatujiulizi tu ndio unalipwa vizuri lakini haya umepataje? hatuna uwezo wa kuwauliza wewe mwenyewe huku juu unafanya wanayofanya chini huku wizi na mali hazina maelezo umezipataje.
Ndoo ivo mkuu nawew pia hapo ulipo jarbu kufuatilia uone. Yaani hawa wazawa hawatekelezag miradi kwa uhuru labda suma JKT.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Unadhani hiyo kazi walipewa tu au walishinda kwasababu ya kuweka the strongest proposal?
 
Mshapewa ajira ya boda na betting, mnataka nn tena vijana? bado mmeruhusiwa kuuza biashara (machinga) mabarabarani mbona hamna shukrani.
 
Kama ni wawekezaji na awepe tu.
Kwanini tuwaamini wazungu tu.

Waarabu wakija watadhamini hadi timu zetu za mpira wa miguu.

Shida iko wapi kwani ?
 
Back
Top Bottom