Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Nchi inapewa Waarabu,,wazawa wanafanywa watumwa...uzalendo wa taifa ili uko wap??
 
Hujui watanzania walivyo waharibifu kwenye biashara. Hamia Kimara utaonja joto ya jiwe mateso ya mwendokasi unaoendeshwa na watanzsnia...Wana kimara tubampongeza Rais kwa kuwapa wataalam waendeshe mwendokasi t7nasubiria kwa hamu. Kote wanapoendesha watz hasara tupu soma taarifa ya CAG
 
Wakisema tusiagize ngano, nguo, matoi ya kijingajinga, stiki za mishikaki, mafuta ya kula, na vitakataka vingine vya anasa mko tayari? Au mkikosa chapati siku mbili mtaanza kupiga ukunga? Watu mmekimbia shughuli za kuzalisha dola kama kulima korosho na pamba mnategemea serikali ipate wapi pesa?
 
Duh,dishi limekaa sawa siku hizi
Kwani liliwahi kuyumba ?
Lini ?
Mimi sina chuki na mtu au watu kabisa.
Nawapenda watu wote bila kubagua jinsia zao au tamaduni zao.
Na sjawahi kumtukana mtu binasfi kati ya nilio ongea nao.
 
Shida sisi wazawa ngozi nyeusi tumeshindwa kufanya chochote kabisa.
Kila kitu tunawategemea wenye ngozi nyeupe.
Tuna Maprofesa, Madokta lakini kila wakipewa miradi kwa ubia na Serikali wanashindwa.
Pitia ripoti ya Mkaguzi Mkuu, ni Hasara kila kona zinazoendeshwa na wazawa ngozi Nyeusi.
Hii ni fedheha kubwa sana.
Bora tuishie tu kusoma VETA.
 
Kwa hili nipo na Mama Samia kwa mara ya kwanza namuunga mkono!
Sisi watanzania kila kitu hatuwezi,kwanzia mradi wa mwendo kasi hatuna kitu ni hasara tu.
TRC ,TTCL,kila siku ni kuendesha miradi kwa madeni.
Sasa ni bora tuwape hao waarabu ili tupate uzoefu baada ya kutoka VETA.
 
K
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Kuwapa vyote hivyo sio shida tatizo linakuja je hiyo mikataba waliyoingia inatunufaisha na ss? Plz weken wazi hiyo mikataba tuone kama kuna kitu kitabak bongo !
 
Hahahaha 🤣🤣😂
Usichukulie siriaz kwenye malumbano ya Dini.
huwa tunachangamshana damu tu.
Tukitoka hapo tunagonga na kunywa chai pamoja.
Watanzania tunapendana sana tatizo ni hawa wahamiaji wana roho ngumu sana.
Mimi nikienda popote ndani ya Tanganyika huwa nainjoi maisha sana.
Na napewa hadi Mke na Shamba bure kabisa.
Nilienda mkoa fulani, Mwenyeji wangu aliahidi kunipa Binti yake kama nitabaki huko.
Alikuwa fimbo hatari.
Kama ni wewe Usinge rudi nyumbani
Big Up Sana Watanganyika.
Nchi iliyobarikiwa.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Spika wa zamani kabla ya kujiudhuri alisemaje😂😂😂🌹
 
Ingekua kuiba Kura fisiem wanaweza TU.sio maendeleo kwa watanganyika. BIG NO
KAZI ni kipimo cha utu
 
1000262732.jpg
 
K

Kuwapa vyote hivyo sio shida tatizo linakuja je hiyo mikataba waliyoingia inatunufaisha na ss? Plz weken wazi hiyo mikataba tuone kama kuna kitu kitabak bongo !
Bunge lilipaswa kuiangalia mikataba yote na kuijadili kwa uwazi maana hao ndio wawakilishi wetu.
Mikataba ikiwa inapitishwa na watu wachache kuna mianya mingi ya Rushwa na Ubabaishaji unaopelekea kuzilipa kampuni za Kigeni matirioni ya pesa.

Kuna kampuni zina omba tenda kwa masharti magumu yasiyo tekelezeka ili baadae wavune pesa ndefu katika kesi wanazo tufungulia na tunaishia kushindwa na kuwalipa mabilioni ya dola

Ndio maana nchi nyingi za kiafrika zinabaki maskini sana licha ya raslimali nyingi tulizonazo.

Makampuni ya Kimataifa yanachukulia ujinga wetu kama njia ya kujitajirisha.

Mungu ibariki Afrika
 
SIjawai kuona serikali ikisifiwa miaka yote, fanyeni kazi ili familia zenu zipate mahitaji muhimu, hayo malalamiko hayasaidii kitu chochote.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Na yeye akistaafu tayr ana kasri lake Arabuni anaenda kujilia mafwedha
 
Back
Top Bottom