Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Ndio maana ubia ndio solution madaraka hayo hayatakuwepo, pale NMB kuna ubia lakini serikali haiteui Director na sector binafsi wanateuwa na huo ni mfano mmoja tu.
Unajua kuna njia hata ya kuwapa makampuni ya kitaalamu kukuwekea uongozi, ushauri NK , Kwa hiyo sio lazima kuwa na ubia , alliance air, ilikuwaje, mkataba wa ATC na SAA. Uliishia wapi.

Jingine ambalo ni la muhimu ni viongozi wa kisiasa kiachabkuingiza siasa kwenye vitu vya kitaaluma au kitaalamu

Kwa sababu hata kwenye unis ukiweka usiasa maana yake uthaminishaji wa huo ubia utakuwa wa wizi wizi tu.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Sisi watanzani ni walji na kujinufaisha kibinafsi. Ndio maana miradi yote ya serikali huwa haiendi sawa.
Dhulma nyingi ndani ya nchi.
Maradi wamwendo kasi sio mradi wa mabasi 50 ni mradi wamabasi zaidi ya 500.
Hakuna kampuni yenyne uzowefu huo..
Kampuni zinazo endesha mabasi za nje hao ndio wana ujuzi , uzowefu na fedha za kuweza kuufanya huu mradi wende na uendelee.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Mbona ilitangazwa tenda na ikikaa miezi Mingi bila ya kumpata mtu?

Ebu punguzeni chuki zenu za kijinga japo kidogo

Any way nahisi njia ya Ubungo bado haijapata muwekezaji haya wambie hao wazawa wawekeze huko

Hi Mofat kama ni Waarabu wapo njia ya Mbagala tu Magali Yao ni mapya na full AC
 
Pagwu na pwaguzi
 
Back
Top Bottom