Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

Ulivyosema ana adabu kupitiliza nilidhania huwa anakupa shikamoo huku amekupigia magoti

Hayo uliyoyaandika ni ya kawaida lazima heshima iwepo siyo mtu na mkwe wake mnachekeanachekeana tu
 
Shukuru sana Mungu ndugu yangu. Narudia tena; shukuru!!

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kweli mama wakwe akiwemo mama yangu hawafanyi yafustayo

1. Kukaa ma mkwe sebleni yaan mkwe akiingia lazima mama mkwe arudi nyuma au anaweza kukaa mlango wa katikati wasalimiane na mkwe kama kuna maongezi ni hapo hapo afu mama mkwe anarudi nyuma.

2. Mama mkwe hawezi kula na mkwe hii kwetu haiwezekaniiii

3.mama mkwe hawezi kwenda hovyo hovyo kwa binti yake labda itokee ugongwa wa mda mrefu ambao utamlazimisha kwenda kuwasalimia. Au anaumwa amelazimika kufikia kwa binti yake.

4.arabarani akikutana na mkwe wake lazima asogee pembeni mkwe wasalimiane then apite
5.kwetu mkwe ana heshima yake kama anayopewa baba na heshima hiyo upewa na wana ukoo wote so long as kaoa kwenye ukoo/ familiya hiyo.

5. Maongezi sawa wanaongea inategemea wanaongea nn ila heshima ya mkwe iko pale pale

Mashemeji zangu wote wanapata heshima hawajuti kuoa kwetu.

Mleta mada hongera sio wengine wanapinga simu binti yake apewe mimba
[emoji121]
MKUU,

NI KABILA GANI HILO?
ILI NIANZE KUPAMBANA NA HALI YANGU SASA HIVI!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa ni mama yangu asingekupa hata mkono kukusalimia, ni mwiko kupishana wala kukaa karibu karibu, asingekuangalia hata usoni. Kiufupi kuzoeana ni mwiko

Mama Mkwe wako ni kabila gani?

Hili is kupewa mkono nilikutana nalo nilipoenda ukweni kwa mkwe wangu....sasa wakati wakuondoka ile naaga kila mtu kwa kupeana mikono si nikafika hadi kwa mke nampa mkono naona anautoa kiuchoyo nilishangaa lakini badae nilipo muuliza wife akaniambia si kawaida mkwe kushikana mikono na mme wa binti yake..ndo nikaelewa toka siku hiyo ni salamu tuu za hewani hewani....
 
Ndo hivyo....hofu ni kwamba unaweza kumtekenya mama mkwe wako kwa bahati mbaya kwenye kiganja chake

Mama Mkwe ni kabila gani?
 
Ulivyosema ana adabu kupitiliza nilidhania huwa anakupa shikamoo huku amekupigia magoti

Hayo uliyoyaandika ni ya kawaida lazima heshima iwepo siyo mtu na mkwe wake mnachekeanachekeana tu
mambooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom