[emoji121]Seneta una wengi unataka mwingine? Vip yule dada mmeshaachana?
Kabila gani huyo mama na mimi nikaoe pande hizo mkuu!Ladies & gents
Salaam. Nimeoa mwska wapili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwr nyumbani tumuuguze. Yspata muezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mm hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupew mm kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more dtink pombe at home. Halafu sasa mm ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija badi idadi ya wakupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hii ni kawaida chakula cha baba kunapakuliwa kwanza hata kama hayupo kinfunkikwa na cling film na kuweka kwenye microwave. Kama menu ni kuku baba anawekewa mapaja
Jamaa hana maana, yaani anakwazwa kwa kuheshimiwa na kutendewa Wema !Ana kukwaza tena? Watu wengine mna matatizo kweli
Mhh mbitiyazahyo ndio adabu ya kiafrica!hata mm bibi yangu alikua hakai sbulen na baba akiwpo!hasa hsa wasukuma ndo wana mila za namna hyo!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
Mungu alikuwa na kazi sana kupanga nani awe na naniWewe ungebadilishana mama mkwe na yule anaetumiwa sms kuulizwa mimba lini...
..!mie nawaza tu nikizeeka nitaishije kwa 'sanji'wangu!teh teh!maana nitakuwa bibi wa kisasa i thnk!lol!safi sana huyo bibi!
Waweza kufanya hivyo kisha ukaja juta kumbe alikuwa anakulia timing atoke vipi! bora abaki nae hivi hivi huu ushauri unaompa akiufuata anaweza kuja kufungua uzi mwingine hapa. Pana vitu kama vimelala vifunike na shuka kabisaaaaa.Mwite Mkweo sitting room mpige naye stories, akikubali kuja unaanzisha stories ambazo wewe unaziona muafaka mnabonga hadi mnaishiwa.
Utakua bibi wa kisasa? Siyo babu?
Jordi Pola njoo muone mtu wako
Ndo hapo sasa..inabidi angepata mam mkwe wa kizaramo au kama yule anayetuma msg usikuJamaa hana maana, yaani anakwazwa kwa kuheshimiwa na kutendewa Wema !
Ha ha haNdo hapa sasa..inabidi angepata mam mkwe wa kizaramo au kama yule anayetuma msg usiku
hata kabila la waganda na wahaya wakwe uwaheshimu sana waume wa watoto zao, ila si wa mama wa mji hawa, unakuta mama yupo na mkwe wake kakunja 4 na kimini juu.Ladies & gents
Salaam. Nimeoa mwska wapili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwr nyumbani tumuuguze. Yspata muezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake haizidi 50 and I'm early 30s
Issues:
1. Ananiheshimu imefikia hatua ananiita baba kwa adabu mpaka naogopa.
2. Hawezi kukaa na mm hata kupiga stori zaidi ya salaam tu. Yaani hata namkuta anaagalia tv nikiingia tuu kutoka job anaingia chumbani mda huo huo.
3. Ikibidi tupishane koridoni huwa anageuza njia kabisa.
4. She keeps telling her daughter chakula lazima nianze kupew mm kwanza tena kile kizuri na kingi.
5. Huwa haniangalii usoni kabisa (japo hii inaweza isiwe adabu).
6. Ole mke wangu aniache sebuleni peke yangu lazima amtimue aje aongee na baba.
Kwakweli yako mengi huyu mama anayafanya mpka nimuone ana adabu iliyopitiliza.
Imefikia kipindi imebidi nibadili lifestyle. No more loud music no more dtink pombe at home. Halafu sasa mm ni muongeaji kishenzi so nilixpect mama mkwe akija badi idadi ya wakupiganao story itaongezeka.
Japo mi mama bora ila mwenzenu ananikwaza kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu hawezi kuwa mkwe wa kichaga hata mala mojaItakuwa una hela..
Kama hauna hela halafu ukutane na mkwe wa kichaga ungeomba poo..
Sent using Jamii Forums mobile app