Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Oooh me nakumbuka enzi hizo bibi akimtembelea aunt yangu, hatoki Sebuleni hadi uncle awe kaenda kazini, akisikia tu honi ya gari ananyanyuka huyo chumbani. Salamu na uncle wanapeana huku bibi akiwa chumbani, no kuonana. As you said hizi mila zimechangia sana, coz akija mama wa mwanaume yeye anaenjoy tu kwa raha zakeTuanze kupinga baadhi ya mila zinazobagua watu. Ni ajabu sana kuona mama wa mke wangu(mkwe wangu) kukataa kulala kwangu eti kwa vile mila hairuhusu yeye kuishi kwangu.
Hizi mila ndio zinaharibu mara nyingi. Mfano, mama mzazi akija kwetu anajisikia yupo kwake, ana authority kama vile ni nyumba yake, lakini mama wa mke akija anajihisi yupo ugenini, hana usemi wowote na akikaa siku mbili tu ndugu zake wanaanza kumsema aondoke.
Ni mila potofu ndio zimeleta haya.
Kingine sijui ndo kutokuelimika sijui kuendekeza tu dhiki. Mtu anaenda kwa mwanae/kaka yake, afu anahisi mke wa kijana hana chake mule ndani, vyote ni jasho la mwanae. Tena ukute mkamwana ndo mama wa nyumbani tu basi wanaassume humo ndani yeye anamiliki tu mabegi ya nguo. Eli kila mtu ana siri na mkewe jinsi wanavyochuma mali zao, the sacrifices wanazopitia sisi hatuzijui, knini tunamuona huyu mke kama intruder? Mzazi anafeel like yeye ndo ana authority juu ya mali za mwanae kwa sababu yeye ndo aliyemsomesha, lakini anasahau kuwa mke ana jasho lake kwenye hizo mali anazoziona. Kuna ndugu ile akijua tu ada unayomlipia mtoto roho inamuuma, anawish ile hela angepewa yeye afanyie mambo yake, like seriously mtu aache kuinvest kwenye elimu ya watoto wake?
Nafikiri huko tunakoabudu/kuswali waanzishe na seminars za vitu kama hivyo, somehow itatuandaa kisaikolojia na kiroho kuiface hii reality.