Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Pole sana,unanikumbusha mama yangu aliwahi kumpa bibi ( mzaa baba )
Siku hiyo bibi akamsubiri mwanae ambaye ni baba yangu alikuwa anarudi usiku always maybe sa tano mpaka sita usiku,kumwambia leo sijashiba wakati hakumwambia mama aliyeshinda nae na kula wote chakula tukiwa pamoja na sisi wajukuu,baba akamwambia mama kuhusu lalamiko la bibi.Asubuhi mama akamwambia Bibi naona hushibi chakula tunachopika na kwa vile huwezi kuniambia ndo akampa bibi sufuria zake,mchele,unga nk akamwambia ajipikie mwenyewe Mpaka atakapo ondoka km hawezi kumwambia yeye kuhusu masuala ya chakula.
Bibi alikuwa mdogo ilibidi aombe msamaha.
Dada muoneshe action ya kutumia akili ( busara ) ambayo itamfanya akose amani,usipigizane nae kelele.
Mama ni kiboko mengine yanazidi kama mwanao kaoa kwanini asiachwe afurahie maisha ya ndoa jamani wakwe simu kutwa kuomba hela mpaka watoto wao stress wanashindwa majukumu kwa wake zao, na zamani ilikuwa raha sana ukiandika barua leo mwezi 6 ndiyo anaipata lakini hìi ya siku hizi wakwe wana kuwa na gubu, wasingeruhu wakaoa wakae nao nyumbani akipata kazi wote mnahamia hapo awe anazalisha tu huko anakusanya watoto tu
 
Naona inakuwa ni power struggle kati ya mama na mke. Wote wanajaribu kupata attention ya mtu wampendaye kwa dhati.

Yaani mama anakuwa anatamani attention ya mwanae exclusively na mke anatamani attention ya mumewe exclusively. Kwa hiyo kuna kawivu ka asili kati ya hawa wanawake wawili.

Ndo maana kuishi nyumba moja ni changamoto.
Baada ya hiyo attention huyu mbaba anaenda lala wapi
 
Ugomvi mwingi kati ya mkamwana na mkwe ni vile mkamwana kushindwa kumchukulia mamamkwe kama mama yake wa kumzaa!!Hakuna mzazi malaika jamani..wengi tunawapenda wazazi wetu na kujifanya hatuyaoni madhaifu yao!!Lakini ni rahisi kutovumilia wamama wengine

Hapa mtoa mada tumesikiliza kwako tu..lakini hatujasikiliza kwa mumeo na mamamkwen.Kwa maelezo yako huna mahusiano mazuri na mkweo.
 
Hivyo visirani na ulalamishi lalamishi mume wangu alianza tangu alipopata ajali mwezi wa 2 na amekua hivyo hivyo as if Mimi simjali,namjali sana na sikuwahi kuwaza kuto kumjali
Chakula nampakulia kama sehemu ya taratibu zetu tulizojiwekea ,kumbuka kua ilinichukua muda kujua kiasi cha chakula alacho hivyo ninavyompakulia najua kabisaa anakula kiasi gani na kama hatoshiba basi ntamuongezea kwani hapo kuna shida!!?

Bidada;
Nalijua unalo lipitia. Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa sasa ni more than 40yrs. Mama yangu mzazi alikuwa hamtaki mke wangu ila mimi ndio nikatia tanzi kuwa; Nimemchagua mwenyewe wala sikuchaguliwa. Hilo lika mponya mke wangu.
Endapo mumeo hana uhakika na wewe (Insecure) haswa sasa anavyoona kuwa wewe ndo una leta kipato home, utapata taabu kweli kweli ikitokea tena sasa kapata back up ya mamake.
Wazo; Usimjibu kwa lolote mama mkwe kwani unategewa wapate cha kukulaumu. Tena usijaribu kumshauri mumeo kuwa amwambie mamake aondoke. Utaleta ugomvi ambao hutaweza kuuzima. Tafuta njia tu mama aondoke bila weye kuhusika. Hata kama utakuja uzuliwe mambo ya hovyo nao, wewe tuliza kichwa uwaache waseme wao huku umetia paamba masikio.
 
Ugomvi mwingi kati ya mkamwana na mkwe ni vile mkamwana kushindwa kumchukulia mamamkwe kama mama yake wa kumzaa!!Hakuna mzazi malaika jamani..wengi tunawapenda wazazi wetu na kujifanya hatuyaoni madhaifu yao!!Lakini ni rahisi kutovumilia wamama wengine

Hapa mtoa mada tumesikiliza kwako tu..lakini hatujasikiliza kwa mumeo na mamamkwen.Kwa maelezo yako huna mahusiano mazuri na mkweo.

Mmmh...

Upo?
 
The same to mama wakwe hawawachukulii waka mwana wao kama mabinti zao. Wengi wanawaona kama wamekuja kuwatenganisha na watoto wao + kufaidi mali za watoto wao. Basi inakuwa tafrani pande zote mbili, Kila upande umeshajifeed vitu negative, ni hekaheka tu
 
Pamoja na michango ya mawazo ya wengi nimegundua kuna tatizo zaidi ya mama mkwe. Kwa ulivyomwelezea mumeo kwa maelezo yako kuwa pamoja na mumeo kupata tatizo la nyonga YUPO TU HAENDI KAZINI ZAIDI YA KUSAIDIA KAZI ZA DUKANI. ikiwa unaelewa kusoma mind ya mtu kuna namna huridhiki na hali ya mumeo na hujaipokea vizuri kuwa hana kazi ya maana. Hapo nakuhakikishia hata ukatae una aina ya dharau mumeo kwa vile hana kazi ya maana. Pili wewe inaonekana huna mawasiliano mazuri na mama mkwe na humpendi. Tafuta naman ya kutatua hayo matatizo kwanza na usijenge ushawishi kwa wengine wenye tabia kama zako kuwa mama mkwe ni watu wabaya. Naamini kuna wanawake walioolewa wanawatawala sana wanaume zao mpaka mzazi wa mwnaume uanona uchungu kwa mwanae aliemzaa kama wewe unavyowaonea huruma wanao. Kuna wanawake wanawates san wanaume zao mpaka mama mwenye mtoto anatamani wewe ndo uondoke kuliko uendelee kubaki na kumtesa mwanae. Badilika kwanza na epuka mob psychology za wanawake wasiojitambua. Huyo mumeo umemkuta ukubwani mama yake ndiye mwenye uchungu zaidi na yeye zaidi yako. Wanawake type yenu huwa nwananiudhi sana maana hujui machumgu ya huyo mama kwa mwanae. Ukute hata chakula kweli unampiga kiplate. Waliopitia jkt wanajua maana ya kiplate! Ni hayo tu kwa wewe na wengine wenye tania kama za kwako.
 
Ukitaka kuenjoy nyumba yako usikae na wakwe ata cku moja akija ni kusalimia tu then asepe wanamaneno sana hao nyumba ni yako kwanin usikae kwa raha tena unaonekana mke mwema kweli maskin
 
Pamoja na michango ya mawazo ya wengi nimegundua kuna tatizo zaidi ya mama mkwe. Kwa ulivyomwelezea mumeo kwa maelezo yako kuwa pamoja na mumeo kupata tatizo la nyonga YUPO TU HAENDI KAZINI ZAIDI YA KUSAIDIA KAZI ZA DUKANI. ikiwa unaelewa kusoma mind ya mtu kuna namna huridhiki na hali ya mumeo na hujaipokea vizuri kuwa hana kazi ya maana. Hapo nakuhakikishia hata ukatae una aina ya dharau mumeo kwa vile hana kazi ya maana. Pili wewe inaonekana huna mawasiliano mazuri na mama mkwe na humpendi. Tafuta naman ya kutatua hayo matatizo kwanza na usijenge ushawishi kwa wengine wenye tabia kama zako kuwa mama mkwe ni watu wabaya. Naamini kuna wanawake walioolewa wanawatawala sana wanaume zao mpaka mzazi wa mwnaume uanona uchungu kwa mwanae aliemzaa kama wewe unavyowaonea huruma wanao. Kuna wanawake wanawates san wanaume zao mpaka mama mwenye mtoto anatamani wewe ndo uondoke kuliko uendelee kubaki na kumtesa mwanae. Badilika kwanza na epuka mob psychology za wanawake wasiojitambua. Huyo mumeo umemkuta ukubwani mama yake ndiye mwenye uchungu zaidi na yeye zaidi yako. Wanawake type yenu huwa nwananiudhi sana maana hujui machumgu ya huyo mama kwa mwanae. Ukute hata chakula kweli unampiga kiplate. Waliopitia jkt wanajua maana ya kiplate! Ni hayo tu kwa wewe na wengine wenye tania kama za kwako.

Asiridhike vipi jamani na wakati mtu anaumwa, tena mshahara unaingia kama kawaida ni vile tu hawezi kwenda kazini. Na tangu nimemfahamu huyo mdada hajawahi kucomplain mumewe kutokufanya kazi.

Hizo kauli zenu za "tumekutana ukubwani sijui mama angu ndo ana uchungu na mimi zaidi", ningekuwa sina umuhimu kwenye maisha yako, basi ungeendelea kukaa huko huko na mama ako. Au mnataka tuanze kukutana na waume zetu tangu tukiwa wadogo, tuwasomeshe ndo angalau muone na sisi tuna uchungu nao? Mke/mume ni mwili wako, so chochote kinachotokea kwake kinakuaffect na wewe vizuri tu. Mama ana nafasi yake na mke ana nafasi yake, so kila mtu ajue nafasi yake asimame panapomuhusu. Mama yako ni wa muhimu sana kwako lakini sidhani kama ni busara kumwambia mkeo sijui tumekutana ukubwani blah blah. Please if hatuna umuhimu wowote kwenu, just stay with your mothers

Afu sielewi what's so special about wazazi wa mwanaume, utadhani wao tu ndo wanazaaga. Hata sisi wazazi wetu wana uchungu na sisi, nyie mmetukuta tu ukubwani. But mbona wazazi wetu hawaingilii ndoa zetu, mnadhani sisi wazazi wetu ndo hawatupendi? Kisa una uchungu na mwanao ndo uje uanze kumuunganisha na ex wake, aseeeeeeeeeeeee
 
The same to mama wakwe hawawachukulii waka mwana wao kama mabinti zao. Wengi wanawaona kama wamekuja kuwatenganisha na watoto wao + kufaidi mali za watoto wao. Basi inakuwa tafrani pande zote mbili, Kila upande umeshajifeed vitu negative, ni hekaheka tu
Hii ni kweli!!Wanaume pia yapasa kuelewa mapungufu ya mama zao!Wajue pia jinsi ya kuweka mipaka.Mama abaki kuwa mama na mke abakie kuwa mke.
 
Asiridhike vipi jamani na wakati mtu anaumwa, tena mshahara unaingia kama kawaida ni vile tu hawezi kwenda kazini. Na tangu nimemfahamu huyo mdada hajawahi kucomplain mumewe kutokufanya kazi.

Hizo kauli zenu za "tumekutana ukubwani sijui mama angu ndo ana uchungu na mimi zaidi", ningekuwa sina umuhimu kwenye maisha yako, basi ungeendelea kukaa huko huko na mama ako. Au mnataka tuanze kukutana na waume zetu tangu tukiwa wadogo, tuwasomeshe ndo angalau muone na sisi tuna uchungu nao? Mke/mume ni mwili wako, so chochote kinachotokea kwake kinakuaffect na wewe vizuri tu. Mama ana nafasi yake na mke ana nafasi yake, so kila mtu ajue nafasi yake asimame panapomuhusu. Mama yako ni wa muhimu sana kwako lakini sidhani kama ni busara kumwambia mkeo sijui tumekutana ukubwani blah blah. Please if hatuna umuhimu wowote kwenu, just stay with your mothers

Afu sielewi what's so special about wazazi wa mwanaume, utadhani wao tu ndo wanazaaga. Hata sisi wazazi wetu wana uchungu na sisi, nyie mmetukuta tu ukubwani. But mbona wazazi wetu hawaingilii ndoa zetu, mnadhani sisi wazazi wetu ndo hawatupendi? Kisa una uchungu na mwanao ndo uje uanze kumuunganisha na ex wake, aseeeeeeeeeeeee
Nadhani Heaven hujaelewa mantiki ya kumuongelea mzazi wa mwanaume. Sio kwamba wako so special ktk ndoa za watoto wao wa kiume tatizo ni kuwa hutakuta na kama inatokea ni nadra sana kwa mwanamke ktk ndoa akalalamika kuhusu mama yake mzazi ila muda mwingi malalamiko yanaelekezwa kwa mama mzazi wa mwanaume. Jiulize kwanin haya malalamiko hayaelekezwi kwa baba? Trust me wanaume hawalalamiki in public kama hivi ili kupata sympanthy! Ila kwa tmamaduni zetu limekuwa jamga kwa akina mama. Well hatuna historia ya mtoa mada ila humu kaleta tatizo lake ili kupata namana ya kuhandle hilo tatizo. Mind you nilitarajia angesema kawashirikisha ndugu aidha wa mume au washauri wa ndoa yao ndio akaona hajapata suluhisho so akaamua kulileta humu jukwaani. Well and good usisahau kuwa suala la ndoa ni muunganiko wa familia mbili kwa upande wa mume na mke. Je amewasiliana na pande zote na aliambiwa nin? Hii inanifanya nishindwe kuona umuhimu wa baadhi ya wanawake kwenda kitchen party kupata walau mafundisho juu ya nn kifanyike tatizo linapotokea nje ya ndoa. Wahenga walisema mtoto hakui kwa mzazi wake. Ukiwadharau kisa say una elimu au pesa kuwazidi walau kumbuka hekima yao kukufikisha hapo ulipo hata kama ilikuwa ni wajibu wao. Pamoja na umri nilionao lakini i swear Nitaendelea kuwaheshimu wazazi wangu na wa mwenza wangu. ,urafiki sijui ndo mashost wanawaita mara nyingi wanakuwa na ushauri usiofaa ktk maisha ya ndoa. Za kuambiwa changanya na zakwako!
 
Hivi let's be honest, ni mara ngapi umeona mama wa binti kwenda kwa mwanae na kuanza kujifaragua ooh sijui hapa kwa mwanangu? Akifanya hivyo ujue ana support ya binti yake alokosa busara. Lakini pia mama zetu wengi wakija makwetu wanakuwa na ile notion "hapa ni ukweni", so majority wanabehave au kama ni wasumbufu ni watatusumbua sisi wenyewe na sio waume zetu, maana wakwe zao wenyewe kuonana ni usiku. Na mama wa mabinti wengi wana kale katabia " iiiih Sitaki kupishana na mkwe wangu koridoni", atakaa sana hapo kama anaumwa. Mama angu akinisumbua si naweza kumrudisha tu kwake, ila mama mkwe je?

Na hata kwenye uchumba, wasumbufu wengi ni mama za wanaume. Binti ukiambiwa tu nakupeleka kwetu, unaanza kuwaza "sijui mama mkwe atanipenda", maana hukawii kukataliwa bila hata sababu. Ndo upate na mwanaume mwenyewe gulagula who can't even reason, basi atasikiliza tu laa mama ake hata kama hayupo right (so far katoe tu sadaka japo umekataliwa maana ni ungeolewa na mama mkwe na sio kijana wake). Lakini nyie kwetu mnakuja comfortably, tena mama zetu wanahangaika hao kuweka mazingira sawa, no wonder kutuoa inaonekana kama mnatufanyia favor

Huyu kaleta story yake kwanza atoe la moyoni, kukaa na maumivu kunaleta na presha juu. Plus humu hakuna mtu anayewajua, so hajamuexpose mumewe. Na kama huko nje kulivyo na washauri wa ndoa, hata humu wapo wengi tu. Ni yeye tu kuangalia ushauri unaomfaa. Na hana mpango wa kumuondoa mama mkwe wake, ila anaomba tu hiyo siku ifike mama mkwe aage anaondoka. Afu samahani hivi kufundwa ni wanafundwa tu mabinti wanaoingia ndoani, huyu mama mkwe na yeye once si alikuwa ni binti, Kungwi wake ndo alimfundisha kuvuruga ndoa za wengine? I think it's high time mama mkwe kabla kijana wake hajaoa, wawe na wao wanafundwa jinsi ya kubehave na waka mwana wao. Uvumilivu, hekima na akili njema ni za muhimu kwa both sides

Afu najiuliza, hivi siku hizi mke mwema anatoka kwa Kungwi na sio kwa Bwana tena, maana kidogo tu " huyu hajafundwa" helyooooooooo

C.c espy Nalendwa
 
Ugomvi mwingi kati ya mkamwana na mkwe ni vile mkamwana kushindwa kumchukulia mamamkwe kama mama yake wa kumzaa!!Hakuna mzazi malaika jamani..wengi tunawapenda wazazi wetu na kujifanya hatuyaoni madhaifu yao!!Lakini ni rahisi kutovumilia wamama wengine

Hapa mtoa mada tumesikiliza kwako tu..lakini hatujasikiliza kwa mumeo na mamamkwen.Kwa maelezo yako huna mahusiano mazuri na mkweo.
Na mama wakwe kushindwa kuwachukulia wake za watoto wao kama watoto wao, kwahiyo juhudi ikiwa ya upande mmoja tu lazima shida itokee tu.
 
Asiridhike vipi jamani na wakati mtu anaumwa, tena mshahara unaingia kama kawaida ni vile tu hawezi kwenda kazini. Na tangu nimemfahamu huyo mdada hajawahi kucomplain mumewe kutokufanya kazi.

Hizo kauli zenu za "tumekutana ukubwani sijui mama angu ndo ana uchungu na mimi zaidi", ningekuwa sina umuhimu kwenye maisha yako, basi ungeendelea kukaa huko huko na mama ako. Au mnataka tuanze kukutana na waume zetu tangu tukiwa wadogo, tuwasomeshe ndo angalau muone na sisi tuna uchungu nao? Mke/mume ni mwili wako, so chochote kinachotokea kwake kinakuaffect na wewe vizuri tu. Mama ana nafasi yake na mke ana nafasi yake, so kila mtu ajue nafasi yake asimame panapomuhusu. Mama yako ni wa muhimu sana kwako lakini sidhani kama ni busara kumwambia mkeo sijui tumekutana ukubwani blah blah. Please if hatuna umuhimu wowote kwenu, just stay with your mothers

Afu sielewi what's so special about wazazi wa mwanaume, utadhani wao tu ndo wanazaaga. Hata sisi wazazi wetu wana uchungu na sisi, nyie mmetukuta tu ukubwani. But mbona wazazi wetu hawaingilii ndoa zetu, mnadhani sisi wazazi wetu ndo hawatupendi? Kisa una uchungu na mwanao ndo uje uanze kumuunganisha na ex wake, aseeeeeeeeeeeee
Thats my dota!! Hata sie tulizaliwa kwa uchungu ati!!
 
Hivi let's be honest, ni mara ngapi umeona mama wa binti kwenda kwa mwanae na kuanza kujifaragua ooh sijui hapa kwa mwanangu? Akifanya hivyo ujue ana support ya binti yake alokosa busara. Lakini pia mama zetu wengi wakija makwetu wanakuwa na ile notion "hapa ni ukweni", so majority wanabehave au kama ni wasumbufu ni watatusumbua sisi wenyewe na sio waume zetu, maana wakwe zao wenyewe kuonana ni usiku. Na mama wa mabinti wengi wana kale katabia " iiiih Sitaki kupishana na mkwe wangu koridoni", atakaa sana hapo kama anaumwa. Mama angu akinisumbua si naweza kumrudisha tu kwake, ila mama mkwe je?

Na hata kwenye uchumba, wasumbufu wengi ni mama za wanaume. Binti ukiambiwa tu nakupeleka kwetu, unaanza kuwaza "sijui mama mkwe atanipenda", maana hukawii kukataliwa bila hata sababu. Ndo upate na mwanaume mwenyewe gulagula who can't even reason, basi atasikiliza tu laa mama ake hata kama hayupo right (so far katoe tu sadaka japo umekataliwa maana ni ungeolewa na mama mkwe na sio kijana wake). Lakini nyie kwetu mnakuja comfortably, tena mama zetu wanahangaika hao kuweka mazingira sawa, no wonder kutuoa inaonekana kama mnatufanyia favor

Huyu kaleta story yake kwanza atoe la moyoni, kukaa na maumivu kunaleta na presha juu. Plus humu hakuna mtu anayewajua, so hajamuexpose mumewe. Na kama huko nje kulivyo na washauri wa ndoa, hata humu wapo wengi tu. Ni yeye tu kuangalia ushauri unaomfaa. Na hana mpango wa kumuondoa mama mkwe wake, ila anaomba tu hiyo siku ifike mama mkwe aage anaondoka. Afu samahani hivi kufundwa ni wanafundwa tu mabinti wanaoingia ndoani, huyu mama mkwe na yeye once si alikuwa ni binti, Kungwi wake ndo alimfundisha kuvuruga ndoa za wengine? I think it's high time mama mkwe kabla kijana wake hajaoa, wawe na wao wanafundwa jinsi ya kubehave na waka mwana wao. Uvumilivu, hekima na akili njema ni za muhimu kwa both sides

Afu najiuliza, hivi siku hizi mke mwema anatoka kwa Kungwi na sio kwa Bwana tena, maana kidogo tu " huyu hajafundwa" helyooooooooo

C.c espy Nalendwa
Basi kuwe na kufundwa kwa mama wakwe, na wanaume pia, maana its too much sasa!! Mwanamke this mwanamke that!! Inamaana yeye haoni tatizo kwa huyo mkwewe? Jamani kila mtu ana ile a point of no return, yaani unavumiliaa mwisho unasema enough is enough now!! Hiyo ni hata kama ulifundwa na malaika, Wakati mwingine ukivumilia sana maradhi kifo ndio kitakuumbua.
 
Pamoja na michango ya mawazo ya wengi nimegundua kuna tatizo zaidi ya mama mkwe. Kwa ulivyomwelezea mumeo kwa maelezo yako kuwa pamoja na mumeo kupata tatizo la nyonga YUPO TU HAENDI KAZINI ZAIDI YA KUSAIDIA KAZI ZA DUKANI. ikiwa unaelewa kusoma mind ya mtu kuna namna huridhiki na hali ya mumeo na hujaipokea vizuri kuwa hana kazi ya maana. Hapo nakuhakikishia hata ukatae una aina ya dharau mumeo kwa vile hana kazi ya maana. Pili wewe inaonekana huna mawasiliano mazuri na mama mkwe na humpendi. Tafuta naman ya kutatua hayo matatizo kwanza na usijenge ushawishi kwa wengine wenye tabia kama zako kuwa mama mkwe ni watu wabaya. Naamini kuna wanawake walioolewa wanawatawala sana wanaume zao mpaka mzazi wa mwnaume uanona uchungu kwa mwanae aliemzaa kama wewe unavyowaonea huruma wanao. Kuna wanawake wanawates san wanaume zao mpaka mama mwenye mtoto anatamani wewe ndo uondoke kuliko uendelee kubaki na kumtesa mwanae. Badilika kwanza na epuka mob psychology za wanawake wasiojitambua. Huyo mumeo umemkuta ukubwani mama yake ndiye mwenye uchungu zaidi na yeye zaidi yako. Wanawake type yenu huwa nwananiudhi sana maana hujui machumgu ya huyo mama kwa mwanae. Ukute hata chakula kweli unampiga kiplate. Waliopitia jkt wanajua maana ya kiplate! Ni hayo tu kwa wewe na wengine wenye tania kama za kwako.
Sijasema mume wangu hana kazi ya maana (kama unavyoiita) take home ya mume wangu ni Mara 2 na kidogo ya income yangu
Huwa namtembelea mama mkwe Mara 2 kwa Mwaka, katika likizo ya mume wangu huwa naomba ruhusa ya siku 7 ili niambatane nae na katika likizo yangu pia mwisho wa mwaka nahakikisha nakwenda kupeleka watoto kwenye asili yao.
Heshima si mdogo kwenda kwa mkubwa tu ila mkubwa kwenda kwa mdogo ni muhimu sana
Yes tulikutana ukubwani so what?
 
Hahahaa "so what". Ahsante
 
Back
Top Bottom