LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
- Thread starter
- #401
Usipende sana kushirikisha hao unawaita watu wa karibu kwa kila tatizo la ndoa kwa kuamini kua wanaweza kua msaada kwakoNadhani Heaven hujaelewa mantiki ya kumuongelea mzazi wa mwanaume. Sio kwamba wako so special ktk ndoa za watoto wao wa kiume tatizo ni kuwa hutakuta na kama inatokea ni nadra sana kwa mwanamke ktk ndoa akalalamika kuhusu mama yake mzazi ila muda mwingi malalamiko yanaelekezwa kwa mama mzazi wa mwanaume. Jiulize kwanin haya malalamiko hayaelekezwi kwa baba? Trust me wanaume hawalalamiki in public kama hivi ili kupata sympanthy! Ila kwa tmamaduni zetu limekuwa jamga kwa akina mama. Well hatuna historia ya mtoa mada ila humu kaleta tatizo lake ili kupata namana ya kuhandle hilo tatizo. Mind you nilitarajia angesema kawashirikisha ndugu aidha wa mume au washauri wa ndoa yao ndio akaona hajapata suluhisho so akaamua kulileta humu jukwaani. Well and good usisahau kuwa suala la ndoa ni muunganiko wa familia mbili kwa upande wa mume na mke. Je amewasiliana na pande zote na aliambiwa nin? Hii inanifanya nishindwe kuona umuhimu wa baadhi ya wanawake kwenda kitchen party kupata walau mafundisho juu ya nn kifanyike tatizo linapotokea nje ya ndoa. Wahenga walisema mtoto hakui kwa mzazi wake. Ukiwadharau kisa say una elimu au pesa kuwazidi walau kumbuka hekima yao kukufikisha hapo ulipo hata kama ilikuwa ni wajibu wao. Pamoja na umri nilionao lakini i swear Nitaendelea kuwaheshimu wazazi wangu na wa mwenza wangu. ,urafiki sijui ndo mashost wanawaita mara nyingi wanakuwa na ushauri usiofaa ktk maisha ya ndoa. Za kuambiwa changanya na zakwako!
Wengine watakusikitikia machoni na vichochoroni wataishia kukucheka, ulitaka kumpa ushindi adui basi eneza taarifa zako kwa watu wanaowazenguka.Hapa JF hakuna anijuae hivyo kwa vyovyote vile siidharirishi familia yangu na hakuna adui atayeweza kutumia taarifa za kinywa changu kuniangamiza