fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,025
Ngoma ilianza hivi.ungekuwa na kapicha au ka clip ka video yani ungemaliza kila kitu
Ngoma ilianza hivi.ungekuwa na kapicha au ka clip ka video yani ungemaliza kila kitu
utasikia Mungu atanilipia, nooo, ya kaisari apewe kaisari na Mungu apewe Mungu bana, aka!!Hakika ni ujasiri wa hali ya juu, sijui kwa sababu ni mkenya? Watanzania wengi wako tayari Kuacha haki take ipotee kisa hataki usumbufu.
Nadhani tayari unajua kilicho nyuma ya pazia. Hata hivyo inajulikana wazi wajane wanaonewa sana, sio siriKuwa mjane siyo justification ya taratibu kupindwa ili kutoa favour...ila kwa mihemko ya kisiasa sishangai yakachukuliwa maamuzi ya kushangaza!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mama mmoja ambaye ni mjane amefika mbele ya Rais kulilia haki yake, hakika kuna uwezekano hili suala linaenda na mtu
Kesi ya msingi hasa ni mirathi, hili jambo limekuwa likifanyika sana kwa watu wa hali ya chini.
Publicity stunt my niggaMipango tu hiyo wameipanga unajua leo ni siku gani?,,jiongeze sio kila kitu unakimbilia huku
Ni tukio la bahati kutokea leo AU tukio la kupangwa?
WHY.
Mazingira ya huo mkutano, ulinzi, Usalama na Itifaki zilikuwa "Cheap" kiasi gani mpaka huyo mama kufanikiwa kuweza kupenya na kumfikia Mheshimiwa rais na kuweza kuyaongea hayo yote?
hahahhahha my President sio mtu wa sport sport!!!Mama kapewa ulinzi na rais kasema hakuna kufa mtu hapa DPP ameambiwa awe anampigia kila siku yule mama kujua kama yuko hai.
Kwanini tukuamini wewe mkuu, vipi siku ikawa kweli kwamba huyu mama yuko sahihi utakuja kutwambiaje? Unamaanisha hawapo kabisa watu wanaoonewa huko mahakamani?Mipango tu hiyo wameipanga unajua leo ni siku gani?,,jiongeze sio kila kitu unakimbilia huku
Ndio maana ya kujilipuaDuuh.. Isije kuwa hatari tuu kwake mwisho wa siku..
Kabisa mkuu,huyu mama kanitoa machozi.ninachojiuliza ni wangapi wanaweza kufika kwa mh.rais?Huyu mama kwa jicho la pili asee katoa funzo kubwa sana.kwamba..kila unachokitaka maisha ni kinawezekana haijalishi vizingiti vingapi unakutana navyo...mama kasema hivi kati ya vitu vingine"Niko tayari kufungwa ama kupata haki yangu natoa machozi yangu Mbele yako Mh raisi"na hakuishia kujitetea mwenyewe bali kawatetea na wamama wote wanaonyanyasika out there,she nearly made me cry,nilimkumbuka mwanangu na mkewangu!!