Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,876
Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee
Wasalaam!
Wasalaam!
Akiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wakeAlikwenda Nje Ya Nchi Kumwakilisha Rais
Ila Wameonywa Waache Mdomo
Haa HaaAkiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wake
Mh! Mbona kaumri kama kamesonga sana?Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee
Wasalaam!