Mama mchungaji ananitega

Mama mchungaji ananitega

ila naye ana bonge la shepu

wewe una hatari,utanaswa nakuambia haya,jidhatiti kama nilivyokwambia thn nenda kwa amani la sivyo?shepu isikusumbue ban,unaweza kuta uzuri wa .........ndanikipande cha ...........!
 
wewe una hatari,utanaswa nakuambia haya,jidhatiti kama nilivyokwambia thn nenda kwa amani la sivyo?shepu isikusumbue ban,unaweza kuta uzuri wa .........ndanikipande cha ...........!

Mambo ya wake za watu siyo ishu tena watumishi wa sir god,unaweza fia kiunoni mwa mke wa mtu,hebu niambie hi valentine unatokana na nani?
 
ndugu yangu huo ni mtihani mmoja mgumu sana
tena hata mimi ulinifanya niwe mpweke kwa ajili
ya kuhofia mahusiano nisijemtumbukiza binti yangu hatiani,
but ni uamuzi wako

kwahiyo kuliko mama na mwana herimama mwenyewe?
 
ndugu yangu huo ni mtihani mmoja mgumu sana
tena hata mimi ulinifanya niwe mpweke kwa ajili
ya kuhofia mahusiano nisijemtumbukiza binti yangu hatiani,
but ni uamuzi wako
sikuwahi ila inatokeaga unakuta umenasa bahati mbaya kwa mama ila si hamna malengo na mama,but ukiwaza binti unaweza kuwa na malengo naye.
 
Nicas Mtei tena nitafurahi sana kupata mkwe wa home
but ni maelewano yenu,
she is now grown up anajua baya na zuri
japo yuko school bado.

sasa itabd nianze mchakato wa kumpata binti huyo wa nyumbani.. I hope 2takubaliana naye.... Ahsante mama mkwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom