more respect mkwe
sasa mama pia una wivu?
teh teh teh. Nakuona mkwe. Ila siwezi kumuhukumu mtoto kutokana na makosa au tabia ya mama.
hehehehe sasa kama Nicas Mtei kachukua toto mbona kuna dalili mi kubaki na mama
hehehehe sasa kama Nicas Mtei kachukua toto mbona kuna dalili mi kubaki na mama
Naanza kukuona kama una akili sana
unafaa kuwa mkwe mwema kwangu.
Unabaki vp na mama wakati bado anaishi na dad wa mtoto ninayemuoa?
kwani mama hawezi kucheza foul?
kwahiyo kigezo mpaka mama mchungaji?
Usimsemee basi!
na ulivyo mzuri jaman wacha akutege tusijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi.
sijui nichague uamuzi upi