Mama mchungaji ananitega

Mama mchungaji ananitega

ulitaka wacheke au ni nini? mama mch amekutegaje sasa mbona hauwi muwazi au we ndo unamtega mama wa watu. Acha uongo kuwasingizia watumishi utalaaniwa bure
hata mi namshamgaa
 
Hivi jamani hakuna mtu aliyeiba password ya excellent? Dah.
 
sijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi.
sijui nichague uamuzi upi
Huyo mdada kashindwa kuchunga. Anahitaji mchungaji wa kumchunga. Je ww utaiweza?
 
Back
Top Bottom