Mama mchungaji ananitega

Mama mchungaji ananitega

umeogopa nini jaman?? hv huyo kwenye avatar ni wewe halisi?

eti nikila cha mtu na mimi nitaliwa?>!
Avatar siyo mimi usije ukadata nayo.hehehhe
 
Mambo ya wake za watu siyo ishu tena watumishi wa sir god,unaweza fia kiunoni mwa mke wa mtu,hebu niambie hi valentine unatokana na nani?

mi nipo benet na loya wangu Ruttashobolwa!we hujapata wa kwenda nae ngorongoro creta?poleeee
 
Back
Top Bottom