Mama mchungaji ananitega

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
sijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi.
sijui nichague uamuzi upi
 
Wee Washawasha mbona unatuvunja mbavu wenzio?? Atende dhambi ili muwe wengi motoni??? Mi nadhani hapa si suala la mama mchungaji au not, si busara kulamba kiburudisho cha mwanaume mwenzio. A woman for Man; Man for Women, upo???
 
kwani huyu mchungaji si mwanamke wa kike? Nalog off
 
Wee Washawasha mbona unatuvunja mbavu wenzio?? Atende dhambi ili muwe wengi motoni??? Mi nadhani hapa si suala la mama mchungaji au not, si busara kulamba kiburudisho cha mwanaume mwenzio. A woman for Man; Man for Women, upo???
ila ujue ye anataka na mi nimehamasika,ila kuna karoho kananikataza
 
mi nachukia maswali rahisi kama haya..uje hapa na hadidu za rejea na reference jinsi mama mchubgaji alivokuwa anatweta..sio unakuja na ngonjera apa
 
zipo bhana mbona unakuwa mkali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom