Mama mchungaji ananitega

Mama mchungaji ananitega

Kumbee hata kwenu wapo!Si kwetu tumewazoea!
 
hehehe bombu bhana,haya sitii neno hapo

usijali mpz, nlikuwa najitahidi kuangalia, kumbe kweli Avatar yako ina kaujumbe flani hivi.
Kwani shem wangu Excellent yuko wapi tena? Au mama mchungaji yuko humu nini?
Tusije pingwa ngumi za uso
 
usijali mpz, nlikuwa najitahidi kuangalia, kumbe kweli Avatar yako ina kaujumbe flani hivi.
Kwani shem wangu Excellent yuko wapi tena? Au mama mchungaji yuko humu nini?
Tusije pingwa ngumi za uso

excelent nahisi katekwa na mama mchungaji maana mwenyewe hata sijui yuko wapi.
 
Mi naona ni vyema uikimbie tamaa ya ujanani kabla mauti haijakupata, ila mtego wenyewe umetufumba kwanini ati Excellent
 
Last edited by a moderator:
hakikisha kwanza una tego proof na element thn nenda kamnanilii mama mchungaji!usijeita mtu ukinaswa!
 
Back
Top Bottom