Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
8,191
Reaction score
9,851
Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!

Kwani bado tu hawajabeba? Nilisikia wakisema wasipobeba wanaua mtu
 
Amepagawa wadau wamemkabia juu.
Tonge linataka kumponyoka aipongeze Simba au amjibu Gwajima😂😂
Akigeuka huku Wasira Chaliii
 
Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!

View attachment 3348631
Kweli kabisa, hana hamu na mitandao
Na vile katufungia mitandao kama X ndo ajue sasa ukiwafungia wenzako mlango nje basi ajue na yeye kajifungia ndani; akiinua tu kichwa anakula kirungu, kifupi hadi ASHIKE ADABU
 
Sijui hata kama GOLI la MAMA watalipwa, pia Ikulu na Bungeni hawatapata mialiko.
 
Mi huwa napitia comments za nyumbu wa chadema chakavu na kubaki kucheka tu. Kiufupi nyumbu hawana akili.....ipo ipo tu ndo maana heche na lema, tena Sasa hv yule chiba akiwa ndani, inajipigia tu tone tone zao malofa hawa!!!
 
Back
Top Bottom