Nyie mnayenu na yule mama mnataka mumpe somo gani!??? acheni hizo!
Yule mama ni kabila lake ni mbena wa Iringa, msinione mkabila ila najalibu kumtetea!
Watu wa Iringa(esp wanawake) huwaheshimu saana watu wakubwa (kiumli au cheo/wanaume),
Kwa hiyo yule mama kwakufanya hivyo hajatusikitisha kabisa watu wa IR bcs ndo nidhamu yetu kwa watu wazima, Kwa wabena Baba hakosei kabisaa makosa ni kwa mama, Kiongozi hakosei kabisaa!
Si unajua uongozi wa huko ni wakichief zaidi, kwa hiyo wanawafanya wanaume kuwa na power kubwa sana, Wala hawezi kuwa dikteta, wala ubabe but ni mtu wakupokea saana ushauri kwa mume wake (in this case watakuwa MAFISADI), hawezi kupinga lolote atakalo ambiwa na president! hata kama si la maana kwa taifa!
MFAHAMUNI HUYU MAMA SI KOSA LAKE ILA MILA NA DESTURI ZAKE!