Mama Makinda, mimi ni mtaalamu wa saikolojia ..nitafute!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,096
9,216
Najua mama huyu anasoma JF au pengine ni mwana chama kama sio basi jamaa zake mfikishieni kaujumbe haka ,nimemuona leo alipohamaki baada ya LEMA kuomba mwongozo wa spika kuwa inapotokea kiongozi mkuu wa nchi anapotosha umma inakuaje!Hii ilitokana na maelezo ya PM kuhusu mauaji ya ARUSHA NA mgogoro wote wa ARUSHA!
Namna mama alivyohamaki na kumjia juu mtoa hoja kuwa awe na heshima,na kuwa waziri hawezi kudanganya ilinitisha!kwa level yake hamaki kama zile zitamuua kwa presha kwa kuzingatia aina ya wabunge waliopo na changamoto tata zinazoikabili nchi kwa sasa .Namapa ushauri wa bure awatafute wataalamu wa saikolojia wawe wana mtibu na kumshauri .!la sivyo miaka mitano kwake itakuwa mingi na migumu mno!
Akipenda mimi nitampa huduma bure!
 
Hapo hata mimi natahamaki kua waziri hawezi kudanganya! Sasa ndio napata picha halisi kua ninani kamweka Anna Makinda pale mbele:frusty:
 
aiseeeeeeee bro umejuaje hata mimi daily nashinda room kufunua mabook naomba tugawane ratiba ya vipindi ili tumsaidie
 
Nyie mnayenu na yule mama mnataka mumpe somo gani!??? acheni hizo!
Yule mama ni kabila lake ni mbena wa Iringa, msinione mkabila ila najalibu kumtetea!
Watu wa Iringa(esp wanawake) huwaheshimu saana watu wakubwa (kiumli au cheo/wanaume),
Kwa hiyo yule mama kwakufanya hivyo hajatusikitisha kabisa watu wa IR bcs ndo nidhamu yetu kwa watu wazima, Kwa wabena Baba hakosei kabisaa makosa ni kwa mama, Kiongozi hakosei kabisaa!
Si unajua uongozi wa huko ni wakichief zaidi, kwa hiyo wanawafanya wanaume kuwa na power kubwa sana, Wala hawezi kuwa dikteta, wala ubabe but ni mtu wakupokea saana ushauri kwa mume wake (in this case watakuwa MAFISADI), hawezi kupinga lolote atakalo ambiwa na president! hata kama si la maana kwa taifa!
MFAHAMUNI HUYU MAMA SI KOSA LAKE ILA MILA NA DESTURI ZAKE!
 
Si hivyo tu (highlyemotional) bali spika wetu wa bunge anaonekana kukosa skills za kuongoza bunge lenye wabunge wenye different talents, political styles, na wenye diversity of view points.Kwanza anapaswa kujua kwamba kuwa PM hajumaanishi mtu hawezi kusema taarifa zisizo sahihi (Neno uwongo is of course a very strong word ijapokuwa ukweli unabaki pale pale kwamba kutoa taarifa zisizo sahihi ni sawa na kusema uwongo).Ajifunze kwa kuangalia bunge la Uingereza hata enzi la Tony Blair ambapo waziri mkuu huyo alikuwa hata akizomewa na wabunge wengine wasio wa Labour Party pale alipoonekana aidha anaongea utumbo au anatoa taarifa zisizo sahihi.Kinachotakiwa kufanwa na spika huyo ni patience na kubuni namna nzuri ya kucontrol bunge na siyo to suppress voices of the strongest opposition party (CHADEMA) Akiendelea hivyo credibility yake itashuka mara moja, na ajue bado watu wanampima endapo ataweza uspika au la, hajawa proven bado kuwa she is a good speaker.
 
Napendekeza kuwe na probation period ya uspika (say aongoze vikao viwili), ili akishindwa kumudu awapishe wengine
 
Mimi nina tiba nzuri kwake na hamaki zake. A very permanent solution.>>> Ile position is too big for her brain. Ajiuzulu tu!!
 
he he heeeeeeeeeee - ATAJIJU - alidhani kupata USPEAKER NI MCHESO EHEEE

KAZI KWAKE ........ simwonei wivu ila hakuteuliwa ki-halali - bado hajamfikia Samwel Sitta kusimamia bunge ------------ hilo afahamu -

KUONGOZA SIO KWA KUSOMEA - NI TALENT AU KIPAJI - na yeye HANA.
Kwanza lafudhi ya lugha yake haina mvuto ........... anafanya bunge lisinoge....

jamani si achie ngazi tuuuuuuuuuu??????????????????
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom