Mama Magufuli aaga rasmi shule ya Mbuyuni

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!

ma2.JPG

Angalia picha inayoning'inia nyuma yake!

ma1.JPG

ma3.JPG

Watoto wakiangalia kwa shauku na mategemeo makubwa kwa Raisi Magufuli kuwatayarishia nchi ambayo watajivunia nayo!

ma9.JPG

Mkuu wa Wilaya ya K'ni aka Jembe dogo la Kinondoni halichezi mbali

ma10.JPG

ma11.JPG

ma12.JPG

ma15.JPG

Tutakumiss Mwalimu wetu alisikia dogo akisema...!

ma16.JPG

ma17.JPG

ma18.JPG

ma12.JPG

ma11.JPG

AW1A2133.jpg
 
Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!

Haya wale UKAWA mnaodharau ualimu semeni sasa

1.Nyerere na Maria NYERERE wote walikuwa walimu wakaingia IKulu
2.Mwinyi alikuwa mwalimu na mkuu wa chuo cha ualimu Zanzibar na mkewe alikuwa mwalimu chuo cha Lugha ZA kigeni Zanzibar wakaingia ikulu
3.Kikwete alikuwa mwalimu wa Siasa JESHINI NA mkewe Salma alikuwa mwalimu wakaingia Ikulu
4.Magufuli alikuwa Mwalimu na mkewe MWALIMU wameingia ikulu

Katika maraisi watano wa nchi hii wanne wote walikuwa walimu.Walimu wana nyota ya IKULU.
 
Leo ilikuwa siku rasmi ya "Mama wa kwanza" na mwalimu wa zamani wa Mbuyuni Shule ya Msingi kuwaga walimu wenzake aliodumu nao kwa muda wa miaka kumi.Katika shuguli hiyo Mama Janeth Magufuli aliwashukuru walimu wenzake wa shule ya msingi Mbuyuni kwa namna alivyoishi nao na kufanya nao kazi,alimshukuru Mwalimu mkuu kwa namnw alivyoishi nae kwa amani na upendo.
Aliwashukuru pia walimu wenzake kwa namna alivyoishi nao,kwa namna walivyomsaidia wakati wa ualimu wake kwa kumkosoa na kumrekebisha kila alipokosea,kwa wanafunzi wake aliwashukuru sana kwa namna walivyompenda na kumkubali darasani...na akawambia atawa-miss sana.Katika tukio hilo Mwalimu Janeth alishindwa kujizuia kulia na kutokwa na machozi wakati akiongea na kuagana na walimu na wanafunzi wake.

Chanzo:Mwananchi Online
 
Last time tulipata shemeji, this time waingereza hutumia neno; Not only in-law but also "who-he" is a teacher: sasa tuone afadhali kidogo jamani yaani safu yote pale juu ni wenzetu (presidaa, PM hadi fisrt lady) hata posho ualimu haunaga ni salary mpaka salary; mwezi until mwezi. Wengine sasa (TRA, Bandari, Na wapigaji wengine wazuri) utasikia, mara posho ya makalio, usafiri/gari, kupigiwa simu(calling allowance) na nyumba na zingine kimya kimya. Ndio maana ukijumlisha zinafika milion 38 ambacho ni nusu ya kiinua mgongo cha mwalimu (lakini kupiga hawaachi kumbuka hilo). Unajua ifike mahali tuwe wakwel elimu hii kama haina mwenyewe mwenye nayo ataongea wacha ngoma iendelee.
 
Watoto wa shule ya msingi kuwa na smart phones ndo utandawazi ? Tunatofautiana malezi, wangu yuko sekondari form II,sijampa hata Nokia tochi.
 
Watoto wa shule ya msingi kuwa na smart phones ndo utandawazi ? Tunatofautiana malezi, wangu yuko sekondari form II,sijampa hata Nokia tochi.

Lakini haimanishi kwamba hana smart phone kwa kuwa wewe haujampa!
 
Mwaka wa 70,
Mwaka wa kukumbukwa
Ndipo ilipoanzishwa shule ya Mbuyuni

Chini ya mission
Ikiwa ya chekechea
74 Ikawa ya Msingi..

Shule yetuuuuu ya Mbuyuni, Sasa inamaendeleo, Na majengo yanaongezeka na Walimu wanafundishaa..

Hongera Mwl Mkuu
Hongera kwa Walimu
Hongera Mwl Mkuu
Hongera kwa Walimu woooote...

I remember those days at MPS(Mbuyuni Primary School), huo Ndio ulikuaga wimbo wa shule..

Enzi hizo Mwl Pombe anafundisha Maarifa ya Jamii..!! Kwa heri Mwl Pombe...
Tatizo tu mko Sisiem.
 
Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!

Siyo tu kufundisha, bali pia amesoma katika shule hiyo kuanzia darasa la kwanza hadi la saba. Ana historia ndefu katika shule hiyo, maana pia kafundisha hapo kwa miaka 17!...
 
Ngoja nifanye mpango nikaoe mwalimu hapo Mbuyuni, who knows i might be a president someday....tehe
Inawezekana Mkuu.. Tulikua na Mama Salma Kikwete Enzi hizo Miaka ya 90, tulikua na Mama Mahita, akaja huyu Mama Joseph Pombe.. Na wengine wengi tu siwakumbuki.. Ni shule ambayo hua wanapitia Wakubwa Wakubwa.. Sijui hua wanafanyaje huko wizarani mpaka wote wanajikuta hapo.
 
Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!

ma2.JPG

Angalia picha inayoning'inia nyuma yake!

ma1.JPG

ma3.JPG

Watoto wakiangalia kwa shauku na mategemeo makubwa kwa Raisi Magufuli kuwatayarishia nchi ambayo watajivunia nayo!

ma4.JPG

ma9.JPG

Mkuu wa Wilaya ya K'ni aka Jembe dogo la Kinondoni halichezi mbali

ma10.JPG

ma11.JPG

ma12.JPG

Watoto wa kileo hao full smart phone dadadeki..!

ma14.JPG

ma15.JPG

Tutakumiss Mwalimu wetu alisikia dogo akisema...!

ma16.JPG

ma17.JPG

ma18.JPG

ma12.JPG

ma11.JPG

AW1A2133.jpg
Tanzanians pupils in their uniforms are the smartest in Africa(cjui nimekipatia hapo english). Dah inanikumbusha nikiwa msingi.
 
Watoto wa shule ya msingi kuwa na smart phones ndo utandawazi ? Tunatofautiana malezi, wangu yuko sekondari form II,sijampa hata Nokia tochi.
Watakuwa walipewa na walimu wao kuwasaidia kupiga picha.
Simu haziruhusiwi shuleni.
 
Back
Top Bottom