Duh, ahaaaaah...nimecheka sana. How old are you my dear?Ngoja nifanye mpango nikaoe mwalimu hapo Mbuyuni, who knows i might be a president someday....tehe
Haya wale UKAWA mnaodharau ualimu semeni sasa
1.Nyerere na Maria NYERERE wote walikuwa walimu wakaingia IKulu
2.Mwinyi alikuwa mwalimu na mkuu wa chuo cha ualimu Zanzibar na mkewe alikuwa mwalimu chuo cha Lugha ZA kigeni Zanzibar wakaingia ikulu
3.Kikwete alikuwa mwalimu wa Siasa JESHINI NA mkewe Salma alikuwa mwalimu wakaingia Ikulu
4.Magufuli alikuwa Mwalimu na mkewe MWALIMU wameingia ikulu
Katika maraisi watano wa nchi hii wanne wote walikuwa walimu.Walimu wana nyota ya IKULU.
Na Tanzania wenyewe hiyo iko wapi kiuchumi duniani?
Wazo zuri mkuuNgoja nifanye mpango nikaoe mwalimu hapo Mbuyuni, who knows i might be a president someday....tehe
mama kakimbia vumbi .Haya wale UKAWA mnaodharau ualimu semeni sasa
1.Nyerere na Maria NYERERE wote walikuwa walimu wakaingia IKulu
2.Mwinyi alikuwa mwalimu na mkuu wa chuo cha ualimu Zanzibar na mkewe alikuwa mwalimu chuo cha Lugha ZA kigeni Zanzibar wakaingia ikulu
3.Kikwete alikuwa mwalimu wa Siasa JESHINI NA mkewe Salma alikuwa mwalimu wakaingia Ikulu
4.Magufuli alikuwa Mwalimu na mkewe MWALIMU wameingia ikulu
Katika maraisi watano wa nchi hii wanne wote walikuwa walimu.Walimu wana nyota ya IKULU.
Wewe ni mwehuHao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?
Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.